Umri gani ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Huhuhuuu uuwiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nafikiri 14 inakua poa maana mtoto anakua ameshajenga psychology vizuri kuwa ,anajiona hajakamilika hususani anapokutana na wenzie waliotahiriwa,sisi tulimwomba babu yetu wenyewe na tulifurahi ,tukawa huru kwenye michezo kama kuogelea,n.k
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sawa asante kwa iyo ww unashauri mtoto awe amekua angalau miaka 14 kuendelea
 
Duh! Pole sana na hongera kwa kuyahimili hayo maumivu. Kwahiyo ni kweli kuwa ukitahiriwa mkubwa mkuyenge unakuwa mkubwa?[emoji848]
Hasa hili ndo ilikuwa lengo la kuanzisha uzi huu ila nashangaa watu wanakwepa sana kujibu hilo swali
 
Mimi nitafanya kulingana na hizo option 2 hapo juu
Sawa asante kwa iyo ww unashauri mtoto awe amekua angalau miaka 14 kuendelea
 
Mi hata kupelekwa kuandikishwa shule darasa la 1 nilimbembeleza mdingi anipeleke.
Mimi mdingi alikuwa anatukataza kwenda shule, tulibahatika kusoma kwa msaada wa ndugu wengine kwa wao kutupeleka na support zingine hadi tukafanikiwa kufika chuo
 
Madaktari wengi wanapendekeza iwe kwaanzia miaka 14...

#kipindi changu nishakisahau, kilichobakia kichwani ni taswira ya ule msitu tu....
 

bro we na mi ndio tulio tahiriwa wengine wanekatwa maana wanaongea ongea tu awaji na point na uthibitisho.,ni bora kumtahiri mapema kwanza inamjengea mtoto kua na kujiamini apati wasiwasi mbele ya wenzake maana kipind hiki watoto wanakatwa mapema mno

ila akichelewa ni vizuri zaidi maana kama atapata 6.5 akiwahi kutahiriwa akichelewa kutahiriwa atapata iyo 6.5 sema aliyechelewa kutahiriwa atakua na mwonekano mkubwa wa mashine ila wakidinda wote sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…