Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,115
- 2,231
Wapi hapo taja kitabu na suraBiblia inasema wiki mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi hapo taja kitabu na suraBiblia inasema wiki mbili
Huhuhuuu uuwiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu wanafunzi wanoko sana, wakijua kitu watakutania kila aina ya utani.
Hapo hadi kuzungumzia mademu watakunyima raha sana maana watakuambia wewe mkono wa sweta utamfanya nini demu
We ni doctor au ni uzoefu tuSiku 8 na above toka azaliwe maana misuri inakuwa bado miteta pia upona haraka kidonda
7B ndo nnWale tuliotahiriwa tukiwa la saba B Ngoja tukae pembeni
Mnashindwa kuelewa nakujib swali langu. Kwa ajili ya wengine pia semeni ni umri gani sahihiHujasema ni umri upi ulio sahihi sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nafikiri 14 inakua poa maana mtoto anakua ameshajenga psychology vizuri kuwa ,anajiona hajakamilika hususani anapokutana na wenzie waliotahiriwa,sisi tulimwomba babu yetu wenyewe na tulifurahi ,tukawa huru kwenye michezo kama kuogelea,n.k
Sawa asante kwa iyo ww unashauri mtoto awe amekua angalau miaka 14 kuendeleaMiaka 18 ni mingi sana.
Sisi max ilikuwa ni miaka 16 ila zamani ndio ilikuwa inafika hiyo 18.
Ila kwa sasa kizazi hiki walio wengi wanatahiriwa wakiwa na miaka 10 hadi 12.
Sisi hutakiwa kuvaa nguo ya aina yoyote isipokuwa shati au t-shirt tu.
Unapewa shuka, tena kanga nyepesi unajifunga. Kwa siku za mwanzo unakuwa unashinda ndani tu ili usipigwe na jua maana utaathiri kidonda na joto. Ukianza kupona ndio unaruhusiwa kutoka nje na unaanza kufanya kazi hasa kuchunga ng'ombe
Itakuwa hivo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo uliugulia maumivu ya mtama na ya kukatwa bila ganzi
Mi hata kupelekwa kuandikishwa shule darasa la 1 nilimbembeleza mdingi anipeleke.Uko sahihi mkuu.
Hata sisi tulikuwa tunawashinikiza wazee watupeleke kutahiriwa
Hasa hili ndo ilikuwa lengo la kuanzisha uzi huu ila nashangaa watu wanakwepa sana kujibu hilo swaliDuh! Pole sana na hongera kwa kuyahimili hayo maumivu. Kwahiyo ni kweli kuwa ukitahiriwa mkubwa mkuyenge unakuwa mkubwa?[emoji848]
Inaongea lugha gani aise [emoji1787][emoji1787]Nyakati za asubuhi mashine huwa inachachamaa mpaka nyuzi zinaongea.
Mimi nitafanya kulingana na hizo option 2 hapo juuMaumivu ya kuzaa ni ya muda mfupi tu halafu yanaisha.
Sisi kuuguza maumivu ya kutahiriwa kwa uchache ni wiki 2.
Suala la kutahiri mtoto wako ni maamuzi yako kulingana na mazingira unayoishi.
Mimi kama nitaishi kijijini, nitamtahiri akiwa mkubwa maana ndio mazingira yanaruhusu.
Lakini kama nitakuwa mjini, nitamtahiri mapema akiwa bado mdogo.
NB: kutahiri kunawezekana kwa muda wowote na umri wowote kwa mazingira yoyote
Sawa asante kwa iyo ww unashauri mtoto awe amekua angalau miaka 14 kuendelea
Mimi mdingi alikuwa anatukataza kwenda shule, tulibahatika kusoma kwa msaada wa ndugu wengine kwa wao kutupeleka na support zingine hadi tukafanikiwa kufika chuoMi hata kupelekwa kuandikishwa shule darasa la 1 nilimbembeleza mdingi anipeleke.
Mama aliniambia nilitailiwa nikiwa na siku 20 na hali ya huku chini ni inch 6.5 urefu na upana inch 5. Sometimes najisemeaga kama ningetailiwa mkubwa ningekuwa Mandingo na huwa naitaka sana kuwa na hongo la haja. Ila hata hii fresh tu maisha yanaenda.
Kuhusu kibamia: mimi sio mtaalamu sana ila nachoamini kibamia ni kurithi. Ni kama unavyoona watu wengine ni warefu na wengine wafupi. Ukifatilia utakuta mzazi mmoja au shangazi au mjomba ni mrefu/mfupi.
Kama kuna sababu za kisayansi kuhusu kutailiwa na mapena na ukibamia ni vyema mkatutoa tongotongo.
Mi skubali kurudia mara ya 2 aisee maana inauma hatariVipi mkiambiwe mkatahiriwe kwa mara ya pili mtatoka
We bado una ganda aiseeambao hatujamenya viazi uzi huu hautuhusu