Hata wewe unakopa, kukopa unakopa popote.Nani anayependa wazungu kuliko serikali ambayo ndio moja ya wakopaji na wafutiwa madeni wakubwa na wazungu afterall waliingia mikataba mibovu kuanzia gesi hadi madini na kusababisha hasara ya trillion zaidi ya 400 kwa mujibu wa ripoti za kamati zote 4!!!! Nani mpenda wazungu hapo
Ni rahisi kupinga kuliko kuimplementHapana hajapinga anashangaa tu serikali ilisema gesi ndio suluhu ghafla tena tunarudi kwenye umeme wa kutegemea maji!!!!
Yaani kwa kuwa umeme wa gesi tulishaanza kufua basi pesa hyo ya stiegler ielekezwe kwingine mfano kilimo au uvuvi n.k ili nchi isonge mbele maadam alternative ipo kuliko miradi miwili target moja wakati kuna watu wanategemea kilimo cha mvua bado na wapo karne ya 21.... Kwanni msiwekeze huko kila siku umeme umeme wakati gesi ipo
Basi kama mnakopa na mnafutiwa madeni pamoja na kuomba msaada kwao ambao mpaka mwaka jana mlikuwa mmeshafutiwa madeni ya thamani ya trillion 20 je kiburi cha kuwatukana mnatoa wapi.... Kama hawawapendi wangewafutia madeni??Hata wewe unakopa, kukopa unakopa popote.
Best solution ni wewe kuendelea kushangaa pembeni wakati watu wana piga kaziYeah MLISEMA maana nachukulia wwe mtoa taarifa umechukua upande wa serikali kwenye kutetea mradi wa Stiegler's.... Hivyo serikali hiyo hiyo ambayo leo inasema SG ndio habari ya mujini ilisema miaka 4 iliopita kwamba Gesi ndio suluhu la nishati ya umeme hapa TZ hivyo nashangaa badala nyie wasomi mhoji hizo ahadi za gesi kama zimefikia malengo ndio kwanza mnatuminisha tena kwamba SG ndio mradi wa kumaliza shida ya umeme.... Hivi hizi ahadi mpaka lini?? Wasomi tunawategemea muhoji ndio kwanza mnasupport huu ujinga wa SG
Huoni tuna miradi mingi inahitaji funding hasa ya maji vijijini ama ya kilimo cha umwagiliaji au hata kuongeza ndege kwa ajili ya ATCL..... We have a way lot than switching lanes every now on then be it from hydro to coal to gas.... And then guess what!! We are talkin about hydro again???
Duh kazi ipo
Hahahaha naona umekimbia mada yako kule kuhusu waarab na wazungu!!Ni rahisi kupinga kuliko kuimplement
Wana piga kazi!!! Kwani gesi hawakupiga kazi?? Mbona bado mgao upo na hauna dalili ya kuisha!!!Best solution ni wewe kuendelea kushangaa pembeni wakati watu wana piga kazi
No explanation will satisfy you.
Tabia za Ki-Mugabe za kushutumu "weupe"ili kuonekana mzalendo.Mradi wa steiglers gorge ni unnecessary na ecological destructive, hilo halina mjadala.
Tuna gesi ambayo mpaka leo iko under utilised.
Tuna makaa ya mawe, the cheapest source of energy tunayoweza kutumia. Its destructive pia lakini on the good side yako kwenye maeneo ambayo ni remote and not in one of the largest protected reserve site in the world.
Tuna uwezo wakuproduce wind energy in a large quantity, ila mpaka leo hakuna any signs ya kuanzisha mradi huo.
Tuna a long coastline yenye uwezo wakutuwezesha kuproduce energy kupitia tidal waves.
Tuna uwezo wa kupower miji mingi midogo Tanzania kwa kutumia umeme wa jua tu.
Ila vyote hivyo hamna mpango navyo au hamtaki kuvitekeleza in full.
Juzi juzi a few years back serikali imetoka kuiomba UN kufanya boundary change ya selous kwa ajili ya uranium mining ambayo in the end itakuja kuproduce a ton of radioactive waste ambayo ita-affect the game reserve.
Hapo hapo kuna swala la ujangili humo kwenye hiyo reserve, kwenye idadi ya tembo wameshuka toka 60,000+ in 2009 mpaka 10,000+ in 2013. Tumekaa tu, wala hakuna serious effort kukabiliana na hilo.
Tena sasa mnataka mjenge a hydro plant ambayo ita-flood a large area of the reserve na kuharibu the ecosystem ya eneo hilo,just from the construction alone.
Yani sisi ni kuharibu haribu tuu...
Hydro plants zetu nyingi if not all, zimetengenezwa wakati wa mkoloni, hivi mnadhani wangeshindwa kujenga hiyo hydro plant kwenye hiyo reserve. Mnadhani ni wajinga sana mpaka wakaamua kuachana na hiyo idea. Tena walikuwa na uwezo both financially na engineering wise, kwasababu kama waliweza kutekeleza a large project such as reli ya kati, project kama hii isingewashinda.
Muda mwingine tusiwe wabishi, natuangalie impact ya vitu tunavyotaka kufanya.
Brother issue sio dam...bali dam iko sehemu gani na ina athari gani kwa ikolojiaView attachment 701335
Nimesoma katika gazeti la The Guardian on sunday, tar 25 Feb 2018, ati UN(Umoja wa Mataifa), wanapinga kujengwa kwa kituo cha kuzalisha umeme kiasi cha 2,100MW ati kwa sababu za mazingira.
Huu ni uhujumu, full stop!
UN inatumiwa tu, ili ujumbe uonekane ati unatoka chombo ambacho ni fair, lakini ujumbe huo ni lazima unatoka nchi zinazofaidika na matatizo yetu ya nishati.
Kampuni za kimarekani kama AGGREKO, DOWANS na nyingine nyingi ni wazi zisingependa kuona mradi huu wa Stieglers Gorge ukifanikiwa, maana watakosa ulaji wanaofaidika nao leo.
Kama ingewapendeza UN, basi Three Gorges Dam ya China, Aswan Dam ya Misri, Akosombo Dam ya Ghana vyote visingejengwa kwa sababu za kimazingira.
Nampongeza sana Rais Magufuli na kumpa moyo kushika moyo ule ule , ili nchi ijitawale kinishati.
Mkuu wewe inaelekea ni kijana wa juzi juzi tu.
Miradi karibu yote ya Hydro imejengwa na Mwalimu.
Hata huu wa Stieglers Gorge ulikuwa kwenye drawing boards.
Mimi nimeingia ndani ya Kidatu na kuona zile 4 turbines zinazofua 200MW, cha mtoto.
Nimebahatika vile vile kuingia NDANI ya Nuclear Plant moja huko Ulaya, yenye ukubwa kama jengo la Yanga.
Hiyo Plant ilikuwa inatoa 900MW!
Sasa leo hao UN waambie wakusaidie ujenge plant kama hiyo hapa nchini , wataishia kukulisha studies kama unavyozionyesha za kwako hapa mtandaoni!
Tatizo kubwa watanzania mmeaminishwa na kulishwa maneno ambayo in principle ni defeatist, mwadhani maendeleo ni lelemama na yatakuja kwa feasibility studies.
Mrusi Yuri Gagarin, binadamu wa kwanza anga za juu, alifanyiwa feasibility study ipi kufanikiwa!
Na je ile Apollo mission iliyilipuka na kuua wanaanga karibu nane wa kimarekani, yenyewe haikufanyiwa any studies?
Maendeleo ni multifaceted.
Gesi tutaitumia, makaa ya mawe yatatumika.
Wengi wenu muishio Dar wala hamjui na hamjafika maeneo ya nishati hizo, zinatumika hata leo.
Tukitegemea maendeleo yetu yatakuja kwa kumfurahisha mzungu aliyekutawala, wengine hata kiakili, maendeleo yatachelewa sana.
Ni kweli ila pia sio dalili nzuri sana kwa yanayotunyemelea maana inaonekana kana kwamba tunatengwa kiaina kimataifa. Huku UN kule US kwa issue ya ushirikiano na NK. Si busara kusema tu "shikilia hapo hapo"; wao wameshikilia mpini sisi makali. Busara ni kutafuta suluhu sahihi ya namna ya kutoka tuliponasa ili tusonge mbele bila mikwaruzano isiyo ya lazima na "wakubwa". Mwisho wa siku tutaumia sisi tukiendelea kushupaza shingo. Sina hakika kama utanielewa.
Bro, mbona unaongea upuuz? Kwaakili yako unadhani upo uwezekano wa kuyafanya yote hayo kwa pamoja?...kijana jifunze siasa za kinataifa..... Na usijifnye unjua sanaaa? Kumbe mpuuz tu
Wangepinga alafu watoe mbadala sio kupinga tu for the sake of kupinga.View attachment 701335
Nimesoma katika gazeti la The Guardian on sunday, tar 25 Feb 2018, ati UN(Umoja wa Mataifa), wanapinga kujengwa kwa kituo cha kuzalisha umeme kiasi cha 2,100MW ati kwa sababu za mazingira.
Huu ni uhujumu, full stop!
UN inatumiwa tu, ili ujumbe uonekane ati unatoka chombo ambacho ni fair, lakini ujumbe huo ni lazima unatoka nchi zinazofaidika na matatizo yetu ya nishati.
Kampuni za kimarekani kama AGGREKO, DOWANS na nyingine nyingi ni wazi zisingependa kuona mradi huu wa Stieglers Gorge ukifanikiwa, maana watakosa ulaji wanaofaidika nao leo.
Kama ingewapendeza UN, basi Three Gorges Dam ya China, Aswan Dam ya Misri, Akosombo Dam ya Ghana vyote visingejengwa kwa sababu za kimazingira.
Nampongeza sana Rais Magufuli na kumpa moyo kushika moyo ule ule , ili nchi ijitawale kinishati.
mkuu hakuna project ambayo mkoloni aliitekeleza bila kuna na faida kwake kiuchumi, as hakua na lengo la kuiendeleza nchi kiviwanda, large projects za umeme hazikua na maana kwake. Na si kisingizio cha mazingira. Maana wangekua wanajali mazingira wasingetoboa ozone layer, hadi leo wasingeumiza watu na viumbe Niger delta.