Being_neutral
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 376
- 727
Embu assume ishu kama hii mwalimu anafundisha mke wa mtu!Tena sio uongo, unakuta boda au bajaj anazurura na mwanafunzi kutwa nzima.
Kuna siku nlikua natoka home naenda sehem, ilikua mchana, sasa niko njian natembea bajaj ikasimama nkapanda,
Nkamkuta mwanafunz wa kike ndan, punde anaanza kulalama "wee fulan unachukua abiria kwan tulikubalianaje?, we c ulisema leo tunashinda wote?" Jamaa akadakia "huyu namjua hana noma ndo maan nimemchukua namdrop had hapo mbelee"
Nilimuangalia yule mwanafunzi kwa jicho bayaa, uvumilivu ulinishinda nlianza kumsema yule mwanafunzi kwa ustaarabu, eti na yeye akajifanya kuanza kupanick n kunichamba, nkasema hunijuii wee nilimchambaa na kumchambua had akabaki anainama chini kwa aibu,
Na hatonisahau, baadae nkamuambia yule jamaa Leo unamchezea akipata mimba unamkana humjui ila unashinda nae kutwa nzima.
Yule jamaa akajibu, "sio mimi yeye ndo anataka, muda wa kuwa shule anataka kuwa na mimi, nifanyeje."
Nilichokaa.
Aseeee yaani hapo toto hata ulifundishe vipi haliwez khelewa linawaza lirud kutumikia ndoa