Una uhakika simu yako haiwezi kukutia aibu au kukushushia heshima

Kwa hiyo na wewe ulivyo lishamba ukashindwa kujiongeza?
 
hiyo ipo ndani ya simu sio ya ku download kwenye iphone inaitwa Guided access na kwenye android itakuwepo pia
 
Itakuwa ulikuwa ni wewe
Shida ya JF ni moja tu mtu akitoa testimony za Jambo Fulani watu wanakimbilia kusakama huyo mtuu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

πŸ˜πŸ€£πŸ˜… Mimi shepherd kabisa naanzaje kuwa na video za ngono kwenye simu.

NB. Mm simu zangu ie. Zipo 3 hata ringtone siwekagi zipo silent mode muda woteeee sina video Wala picha Wala wallpaper siweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…