Una uhakika simu yako haiwezi kukutia aibu au kukushushia heshima

Sasa shida nini hapo kijana?

Mshangazi umeamua kujipiga mapicha wajomba zako tutumiwe hakuna noma

Wewe tengeneza simu yake mrudishie aendelee kujipiga mapicha anitumie mjomba wako nijizimue na cha mkwezi
😂😂 au sio
 
Jau sana
 
Nimenyooka kama rula, sihifadhi picha au video chafuchafu.

Ninajua mahali pa kuvipata muda wowote, kwanini nikae navyo.

Groups za kipuuzi sina kabisa.
Labda tu atafaidi kuijua username yangu ya hapa jf.
😂😂😂 utaki shida
 
Duh alikosea sasa anaenda muonesha mama mkwe ili iweje mimi ninge mgeuzia kesi
 
Duuuh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…