Unabii baada ya kiongozi mmoja wa juu kubeza uwepo wa Mungu

MENE MENE TEKELI NA PERESI!
 
Kuandika kwenyewe hujui,maudhui tafrani...anyway,Mungu mwenyewe unayemsemea ni yesu au!?..Kama yesu huyo usimuogope,alitolewa nduki na watu wenye nyundo na misumari
One day utajuta Kwa maneno uliyoyaandika.
And by the way, Yesu kapewa heshima kubwa na Mungu kuliko binadamu yeyote aliyewahi kuishi na anayeishi na atakayeishi duniani na malaika.
 
One day utajuta Kwa maneno uliyoyaandika.
And by the way, Yesu kapewa heshima kubwa na Mungu kuliko binadamu yeyote aliyewahi kuishi na anayeishi na atakayeishi duniani na malaika.
Mbona mnatofautiana watu wa Imani moja juu ya yesu!?..wengine yesu Mungu,wewe na wengine yesu siyo Mungu..hamjui hata mnaabudu nini!
 
Mbona mnatofautiana watu wa Imani moja juu ya yesu!?..wengine yesu Mungu,wewe na wengine yesu siyo Mungu..hamjui hata mnaabudu nini!
Yesu ana asili ya Uungu, Baba yake ni Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.
Hakuwa mwanadamu wa kawaida kama Mtume Muhammad (Na Amani iwe juu yake).
Yesu alimheshimu Baba yake mpaka kifo.
 
Mbona mnatofautiana watu wa Imani moja juu ya yesu!?..wengine yesu Mungu,wewe na wengine yesu siyo Mungu..hamjui hata mnaabudu nini!
Kila mtu ana Mungu anayemuabudu.
Mimi namuabudu Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo ambaye ni Baba wa Bwana wangu Yesu Kristo.
Yesu Kristo ameteuliwa kuwa Hakimu , Kuhani na pia Mfalme wa Wafalme wote, yeye ndo kiunganishi pekee Kati ya Mungu wa Ibrahimu na wanaomwamini kupitia damu yake iliomwagika pale Kalvari kwa ajili ya Kila mtu hapa duniani.
 
Mimi nilisema Kama Mungu mwenyewe yesu basi hapaswi kuogopa,sababu yesu aligongelewa misumari na binaadam,we ukaja mbio kudai ntalaaniwa
 
Yesu ana asili ya Uungu, Baba yake ni Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.
Hakuwa mwanadamu wa kawaida kama Mtume Muhammad (Na Amani iwe juu yake).
Yesu alimheshimu Baba yake mpaka kifo.
Babaake kwa kuwa alimtia mimba Maryam!?..yesu alikwambia maria Magdalene asimshike atamtengua udhu kwa kuwa hajapaa kwenda kwa baba yake ambaye pia ni baba wa watu wengine
 
Babaake kwa kuwa alimtia mimba Maryam!?..yesu alikwambia maria Magdalene asimshike atamtengua udhu kwa kuwa hajapaa kwenda kwa baba yake ambaye pia ni baba wa watu wengine
Ila Yesu ndo mtu pekee ambaye Mungu wa Ibrahimu alimuita kama Mwanaye wa pekee, hakuna mwanadamu yeyote, hata Nabii Musa HAKUITWA HIVYO.
Imeandikwa
Mathayo 3:16-17
[16]Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;
And Jesus, when he was baptized, went up straightway out of the water: and, lo, the heavens were opened unto him, and he saw the Spirit of God descending like a dove, and lighting upon him:
[17]na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.
And lo a voice from heaven, saying, This is my beloved Son, in whom I am well pleased.

Na tena.
Mathayo 17:4-5
[4]Petro akajibu akamwambia Yesu, Bwana, ni vizuri sisi kuwapo hapa; ukitaka, nitafanya hapa vibanda vitatu, kimoja chako wewe, na kimoja cha Musa, na kimoja cha Eliya.
Then answered Peter, and said unto Jesus, Lord, it is good for us to be here: if thou wilt, let us make here three tabernacles; one for thee, and one for Moses, and one for Elias.
[5]Alipokuwa katika kusema, tazama, wingu jeupe likawatia uvuli; na tazama, sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye; msikieni yeye.
While he yet spake, behold, a bright cloud overshadowed them: and behold a voice out of the cloud, which said, This is my beloved Son, in whom I am well pleased; hear ye him.

HAKUNA MTU YEYOTE HAPA DUNIANI AMBAYE MUNGU ALIMTAMKIA WAZI KUWA NI MWANAYE MPENDWA, HAYUPO. SISI NI WANA WA MUNGU KWA KUMWAMINI YESU, ILA HATUNA ASILI YA KIUNGU, YESU ANAYO.

NIONYESHE NDANI YA MAANDIKO AMBAPO NABII YEYOTE ALIAMBIWA NA MUNGU WAZIWAZI, WEWE NI MWANANGU MPENDWA.
 
Babaake kwa kuwa alimtia mimba Maryam!?..yesu alikwambia maria Magdalene asimshike atamtengua udhu kwa kuwa hajapaa kwenda kwa baba yake ambaye pia ni baba wa watu wengine
MUNGU ALIMUITA MUSA MTUMISHI WANGU:
Yoshua 1:1-2
[1]Ikawa baada ya kufa kwake Musa, mtumishi wa BWANA, BWANA akamwambia Yoshua, mwana wa Nuni, mtumishi wa Musa, akasema,
Now after the death of Moses the servant of the LORD it came to pass, that the LORD spake unto Joshua the son of Nun, Moses' minister, saying,
[2]Musa mtumishi wangu amekufa; haya basi, ondoka, vuka mto huu wa Yordani; wewe na watu hawa wote, mkaende hata nchi niwapayo wana wa Israeli.
Moses my servant is dead; now therefore arise, go over this Jordan, thou, and all this people, unto the land which I do give to them, even to the children of Israel.

MUNGU ALIMUITA DAUDI MTUMISHI WANGU:

1 Wafalme 11:11-13
[11]Kwa hiyo BWANA akamwambia Sulemani, Kwa kuwa umefanya hayo, wala hukuyashika maagano yangu, na sheria zangu nilizokuamuru, hakika nitaurarua ufalme usiwe wako, nami nitampa mtumishi wako.
Wherefore the LORD said unto Solomon, Forasmuch as this is done of thee, and thou hast not kept my covenant and my statutes, which I have commanded thee, I will surely rend the kingdom from thee, and will give it to thy servant.
[12]Walakini katika siku zako sitafanya haya, kwa ajili ya Daudi baba yako; nitaurarua utoke katika mkono wa mwana wako.
Notwithstanding in thy days I will not do it for David thy father's sake: but I will rend it out of the hand of thy son.
[13]Lakini sitauondoa ufalme wote pia; nitampa mwana wako kabila moja, kwa ajili ya Daudi mtumishi wangu, na kwa ajili ya Yerusalemu niliouchagua.
Howbeit I will not rend away all the kingdom; but will give one tribe to thy son for David my servant's sake, and for Jerusalem's sake which I have chosen.

MUNGU ALIMUITA EZEKIEL, DHULKIFIL MWANADAMU:

Ezekieli 2:1
[1]Akaniambia, Mwanadamu, simama kwa miguu yako, nami nitasema nawe.
And he said unto me, Son of man, stand upon thy feet, and I will speak unto thee.

MUNGU AKAMUITA YESU MWANANGU MPENDWA:
Mathayo 17:4-5
[4]Petro akajibu akamwambia Yesu, Bwana, ni vizuri sisi kuwapo hapa; ukitaka, nitafanya hapa vibanda vitatu, kimoja chako wewe, na kimoja cha Musa, na kimoja cha Eliya.
Then answered Peter, and said unto Jesus, Lord, it is good for us to be here: if thou wilt, let us make here three tabernacles; one for thee, and one for Moses, and one for Elias.
[5]Alipokuwa katika kusema, tazama, wingu jeupe likawatia uvuli; na tazama, sauti ikatoka katika lile wingu, ikasema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye; msikieni yeye.
While he yet spake, behold, a bright cloud overshadowed them: and behold a voice out of the cloud, which said, This is my beloved Son, in whom I am well pleased; hear ye him.
 
Mbona wanazicheze tangu ujanani mpaka uzeeni tena wana life expectancy kubwa tu
Mhubiri 3:1-2
[1]Kwa kila jambo kuna majira yake,
Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.
To every thing there is a season, and a time to every purpose under the heaven:
[2]Wakati wa kuzaliwa, na wakati wa kufa;
Wakati wa kupanda, na wakati wa kung’oa yaliyopandwa;
A time to be born, and a time to die; a time to plant, and a time to pluck up that which is planted;

Kama ambavyo Kila bidhaa Ina expiry date ya kwake, Kila mtu ana muda wake wa kuishi. Sekunde Moja tu inatosha kuwa karibu na Designer wa Ulimwengu wote.
 
Huyo mwana wa pekee kasema baba yake ndiye baba wa watu wengine, Mungu wake ndiye Mungu wa watu wengine, Mungu hawezi kuwa na Mungu
 
Huyo mwana wa pekee kasema baba yake ndiye baba wa watu wengine, Mungu wake ndiye Mungu wa watu wengine, Mungu hawezi kuwa na Mungu
Nionyeshe kwenye Maandiko ndo tuelewane.
Nionyeshe wapi Mungu aliwahi mtamkia Musa wazi kuwa ni Mwana wake Mpendwa, au Daudi, au Ezekiel?
Ukishindwa basi kubali hujui chochote kuhusu Biblia, nimeisoma Biblia tokea nikiwa mdogo so Niko hapa.

Thibitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…