Unabii kuhusu Rais mwanamke aliyepo Afrika Mashariki (ulitolewa 2021)

Tutaona mengi hadi 2025!
 
Oh, kumbe! Nilikuwa sijaijua tarehe husika haswa🙏🙏.

Hata hivyo nimejitahidi kidogo maana kwa mwezi huo kila ntu alikuwa anajua kuwa Samia Suluhu Hassan anaenda kuapishwa hivyo utabiri huo kidogo una kaukakasi as dar as tabiri kama ya yule aliyetabiri ajali ya ndege is concerned
 
Rais Samia aliapishwa mwezi wa tatu mwaka 2021, na hapo anazungumzia Rais mwanamke aliyeko madarakani sio atakayekuja kuwako.
Anyway Respect Kwa kuwa hukujua tarehe husika.
 
Kweli na Kuna mengi kazungumza katika video hiyo ya dakika kama 5 sema sikuandika maana TISS si watu wa kuwachezea ila alichokisema mwaka 2021 mwezi wa August inatosha kufahamu huyu Rais mwanamke kutoka Afrika ya Mashariki ni nani.
Magufuli alifariki March 17, 2021 Muda ambao SSH aliingia madarakani na ndo Rais pekee Afrika Mashariki. Hapo hakuna kitu! Angetabiri kabla hajaingia madarakani angekuwa na mashiko kwasababu unabii wake kautoa August 2021 wakati tiyari yuko madarakani
 
Elewa hakutabir kutokea rais mwanamke bali alitabir atayokutana nayo rais mwanamke wa EAST AFRICA , hv kwann waswahili ni wagumu kuelewa ?
 
Ukimsikiliza amesema lady president in east African country, kumaanisha aliyepo madarakani so hapo hakubahatisha bahatisha.
Pili alitaka wanaompenda wamweke kwenye Dua zao maana alionyeshwa matukio atakayopitia.
Yeye Hana haja ya kusema kuhusu Hii nchi ya Afrika Mashariki maana anaishi Zimbabwe na Nabii zake nyingi ni za Zimbabwe na Mungu huwa anazitimiza kama walioonywa walipuuza.
 
Hatuhitaji hata unabii kujua ,yanayotkoea, ayatendayo na jinsi anavyo yashughulikia ni ushahidi tosha kuwa tumepigwa na kitu kizito[emoji848]inshort kiti kimepwaya,nchi Ina ombwe kubwa la uongozi wa juu wa nchi.
Chuki zenu tu za kishamba ndizo zinazowasumbua.Ni kipindi cha Raisi gani wizi haukutokea?Huyo magufuli kama alikuwa msafi kweli Kwa nini amuondoe madarakani SAG Musa Asad baada ya kufichua wizi wa tirioni 1.5?Huyu mama amefanya kitu gani kibaya cha kukufanya uone hakuna uongozi wa juu?Mazuri mangapi anayafanya katika nchi hii ambayo magufuli pamoja na kujipropagate Kila CK ktk media asingeweza kuvifanya?Magufuli alifanya kazi mdomoni sana kuliko uhalisia.Sana sana apmiradi aliyoijenga kikwete au kuianzisha kikwete akajitangaza Kwa nguvu zote kuwa yeye ndo kafanya.Mfano ujenzi wa barabara zinazounganisha mikoa,daraja la kigamboni,mabasi ya mwendo kasi, flyover,n.k.Lkn wewe mwenyewe ni shahidi,vituo vya afya vimejengwa kila tarafa.Na bado vinaendelea kujengwa.Kila secondary yamejengwa madarasa yenye viwango vya university kuanzia mawili nchi nzima.Lakini mama sio mtu wa media kama yule bwana.
 
Elewa hakutabir kutokea rais mwanamke bali alitabir atayokutana nayo rais mwanamke wa EAST AFRICA , hv kwann waswahili ni wagumu kuelewa ?
Si angesema waziwazi SSH wa Tanzania ambaye ndiye rais pekee mwanamke? Kuhusu changamoto hutokea ni kawaida!
Kuhusu kuombea mkuu wa nchi ni wajibu katika imani ya kikristo tunahaswa kuombea mamlaka iliyopo kuanzia Rais!
Hapo hamna kitu!
 
Hukujua? Mungu wao anaitwa (analo jina lake). Wa wakristo ni Yesu mwana wa Mungu Baba katika utatu mtakatifu wa Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu! Kwahiyo mtafaruku juu hizi imani ni wa miungu!
Mbona unasema Mungu wa Wakristo ni Yesu mwana wa Mungu?
Huoni kuwa unajikanyaga mwenyewe?
Anyway ninavyojua Mimi na nimesoma Biblia kwa miaka takribani zaidi ya 8 , Mungu nayemuona ndani ya Biblia na ni Mungu wake Yesu anaitwa YHWH, Yesu alikuwa anamuita "ABBA" (Baba).
Yesu alikuwa mwaminifu kwa huyu Mungu wake mpaka kifo baadaye akafufuliwa na Mungu .
Mungu akampa Yesu cheo kikubwa cha kuwa Hakimu wa wanadamu wote na majini yote katika siku ya mwisho.
 
Acha uongo SSH hakuna jambo lenye mashiko kafanya! Eti kaongeza madarasa, vituo vya afya blah! blah! nyingi! Kajificha ndani ya mambo aliyoyafanya JPM. Anzisha jambo jipya. Mfano. Panua barabara ya njia nane kuanzia Kibaha mpaka Chalinze kila mtu aone!
 
Samaleko
 
Walimu mna shida gani kwenye kuandika vizuri? Watoto wetu wapo salama kweli huko shuleni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…