Unabii kuhusu Rais mwanamke aliyepo Afrika Mashariki (ulitolewa 2021)

Hata sasa mie ukiacha utabiri huo nilitaka kuandika humu kumu caution Mh Samia Suluhu Hassan kuwa makini, hii suala la DP w linaweza kuwa makusudi wameanua kumpoteza kabla ya Uchaguzi wa 2025. Hasa watu wa chama chake wanaoutaka Urais
Ila hili la watu aliowaamini kumshauri mama vibaya nami na lihisi sana.
 
Hata sasa mie ukiacha utabiri huo nilitaka kuandika humu kumu caution Mh Samia Suluhu Hassan kuwa makini, hii suala la DP w linaweza kuwa makusudi wameanua kumpoteza kabla ya Uchaguzi wa 2025. Hasa watu wa chama chake wanaoutaka Urais
mnataka kusema genge la wataka urais wamemuingiza kingi ili akosee na chama chake kione amevunja katiba? Sasa mbona hao wasaidizi wake ni watu wake wa karibu, ina maana wanamshauri upupu akosee?
 
Kwa kuwa ni muislam anafanya lolote hata kuuza raslimali za nchi wewe kwako ni sawa tuu.
 
Upuuzi na utapeli mtupu. Mbona anashinda kuitabiria nchi yake? Nadhani alikuwa akiota ndoto za Grace Mugabe huyo tapeli uchwara
 
NABII? NABII? NABII?

UKRISTO NI UPUMBAVU KWELI, YAANI MTU AMEJISHIBIA HUKO UGALI WA MTAMA ANAJIITA NABII
 
mnataka kusema genge la wataka urais wamemuingiza kingi ili akosee na chama chake kione amevunja katiba? Sasa mbona hao wasaidizi wake ni watu wake wa karibu, ina maana wanamshauri upupu akosee?
Bro wana siasa wanaua kupata madaraka itakuwa kumuingiza chaka?
 
Usimjibu... Mungu wetu hatetewi.. anamaamuzi, anauwezo, ni hakimu wa kweli na haki.
 
Kwenye vitabu vya Mungu, Mungu mtukufu amekataa lamli na kaipinga vikali huyo pastor amefanya lamli ya wazi wasi na kama imepangwa itokee hakuna cha kuzuia imeandikwa tukosee ili tujifunze zaidi
 
Ujumbe katika huo unabii ni "rais mwanamke atakuja kufanya makosa mawili ambayo ambayo yatazua upinzani mkali ndani ya chama chake na nje"

Makosa hayo atayafanya miaka ya mbele baada ya kuwa rais, sasa pima mwenye kabla hujabeza huo unabii, imepita miaka 2 tangu Samia awe madarakani, kinachoendelea sasa ni matokeo ya ushauri mbaya anaopewa kama nabii alivyo tabiri.

Hivyo tambua points za nabii ni kwamba huyo mwanamke atakuja kuboronga huko mbeleni 😂😂

Muda utaongea
 
Your browser is not able to display this video.

Utabiri huu nataka kuamini na ninasita.
Huu utabiri ulisemwa mwanzoni mwa mwaka 2023, huko Kusini mwa Afrika.
Lakini katika yote tumwombee mama na tuliombee Taifa.
 
Kurudisha Imani Kwa Watanzania ndo basi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…