mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Kwa kutwaa uhuru serikali ya Julius ilipewa mamlaka ya kuitawala nchi kupitia chama kimoja cha TANU. Julius hakunyang'anya kitu waingereza, ila alileta hiyo sera ya ujamaa(distributism) baada ya kuona watanzania weusi wakileta fujo...Unakumbuka kama utaifishaji ulifanyika katika sera za ujamaa? Kama nchi ilivyopata uhuru 1961 serikali ilitwaa nn kutoka kwao na nn waliwaachia?. Mana mm ninavyoelewa uhuru uliwapokonya wazungu kila kitu lakini kuna baadh ya mali zilimilikiwa na wahindi ikiwemo mashamba, mashule ambayo yalichukuliwa kipindi cha sera ya ujamaa
Ni kundi hilo hilo.It prove nothing boss huoni huyo ni hohe hahe kama Watanzania wengine? Mleta mada anazungumzia hao matajiri, soma Uzi uelewe.
Midle class kama African elites, je ni n nn hasa kiliwasukum hawa miak hiyo leo kuw vinara wa biashara. Man midle class miaka hiyo ni elites, public servants n midle menKwa kutwaa uhuru serikali ya Julius ilipewa mamlaka ya kuitawala nchi kupitia chama kimoja cha TANU. Julius hakunyang'anya kitu waingereza, ila alileta hiyo sera ya ujamaa(distributism) baada ya kuona watanzania weusi wakileta fujo...
Wahindi walikuwa middle class tu, hawakumiliki vikubwa.
Bila kusahau pia Wahindi ndio wanaoongoza duniani kwa utapeli(scamming) wakifuatiwa na Nigeria.Karibu Afrika nzima iko hivyo na hata baadhi ya nchi za Ulaya kwa sasa. Hao jamaa wako aggressive sana kwenye biashara. Sisi hapa mtu anaanza biashara vizuri lakini ndani ya muda mfupi utashangaa kashanunua kiwanja na kuanza ujenzi badala ya kutumia ile faida kuongezea mtaji. Kiufupi wengi wetu tuna maamuzi ya hovyo sana kwenye biashara.
Mimi naamini ni utandawazi. Mfano mzuri ni Mo Dewji. Nakumbuka kuna mahali nilimuona akisema aliwahi kutafuta sana mikopo fulani hapa Tz akashindwa, akaenda kukopa South Africa.Midle class kama African elites, je ni n nn hasa kiliwasukum hawa miak hiyo leo kuw vinara wa biashara. Man midle class miaka hiyo ni elites, public servants n midle men
Hapo kwenye kuweka wasomi kuendesha biashara zao hawana utani. Picha linaanza watoto wao wanasoma shule na vyuo vya viwango mfano angalia kina MO wamesoma IST na Georgetown University Marekani. Watoto wa Jambo yule wa Shinyanga pia kawasomesha vyuo vya maana na ndo kizazi kilichokuja kuinua Jambo hadi bidhaa zake kupatikana nchi nzima tofauti na mwanzo zilivyokuwa zinapatikana kanda ya ziwa pekee. So na sisi wamatumbi tujifunze kuwekeza kwenye elimu za watoto wetu na kuajiri watu kwa uwezo sio kwa kujuana au kubebana.Mimi naamini ni utandawazi. Mfano mzuri ni Mo Dewji. Nakumbuka kuna mahali nilimuona akisema aliwahi kutafuta sana mikopo fulani hapa Tz akashindwa, akaenda kukopa South Africa.
Bakhresa ameajiri msomi mkubwa wa Harvard kutoka marekani kuendesha biashara yake ya kidigitali ya AzamPay.
Hata usikute waasia walivyokuwa wakinunua yale makampuni yaliyobinafsishwa na mkapa, walikuwa wakitumia mikopo ya nje.
hahaa Kumayl Karimjee mkuu wa uwekezaji Karimjee ana BA ya Oxford.Hapo kwenye kuweka wasomi kuendesha biashara zao hawana utani. Picha linaanza watoto wao wanasoma shule na vyuo vya viwango mfano angalia kina MO wamesoma IST na Georgetown University Marekani. Watoto wa Jambo yule wa Shinyanga pia kawasomesha vyuo vya maana na ndo kizazi kilichokuja kuinua Jambo hadi bidhaa zake kupatikana nchi nzima tofauti na mwanzo zilivyokuwa zinapatikana kanda ya ziwa pekee. So na sisi wamatumbi tujifunze kuwekeza kwenye elimu za watoto wetu na kuajiri watu kwa uwezo sio kwa kujuana au kubebana.
Kitabu kinaitwaje hichoNYOLODO karimjee kipindi cha mwalimu alifukuzwa kabisa. Ila baadae ya mwalimu kumaliza muda wake arejea Tena π.
Hata yule chande pia viwanda vyake vya nafaka zilichukuliwa na serikali, jamaa akamfuata mwalimu ikulu , mwalimu akamwambia labda kwa kukupooza nikupe ubalozi, chande akasusua akasepa. (A Journey from Bukene)
Ila baada ya mwalimu kuondoka baadhi ya assets zake alizurudisha , hapo ndipo mwalimu akawaandikia kitabu kabisa kwa kuwaita wa asiana ni wanafiki.
Baaada ya kupata uhuru family ya bomani ndio waliokuwa matajiri kwa upande wa wazawa , nao wakapitiwa na ujamaa, mwalimu akawafuta machozi kwa vyeo kama ubalozi etc..π
Kile kitabu kinacho elezea Maisha ya Sir chandeKitabu kinaitwaje hicho
Kama Mimi nilivyoweka source na wewe eka source kwamba utawala wa Uingereza ulikua hivyo juu kiuchumi na India haikuwa. Tofauti na "trust me bro" evidence unazoweka wewe.Hakuna utawala ambao umewahi kuwa top dunia nzima, waliojitahidi sana ni Waingereza na wao waliishia kwenye robo ya dunia tu katika kilele chake(Pax Britannic).
Mtandaoni kuna takakataka nyingi, sio kila kitu cha kuchukua kama kilivyo bila kufanya uchambuzi na upembuzi.Kama Mimi nilivyoweka source na wewe eka source kwamba utawala wa Uingereza ulikua hivyo juu kiuchumi na India haikuwa. Tofauti na "trust me bro" evidence unazoweka wewe.
Sasa huoni comment yako inakinzana na unachosema "Sabodo Tajiri toka 1800" na "Wahindi wamekuja Tanzania wakati wa kujenga reli" huoni hizo kauli mbili zinakinzana? Hakukua na muingereza anajenga reli 1800 na kama Sabodo alikua Tajiri 1800 ina maana wahindi wali wapredate wazungu.Ni kundi hilo hilo.
Hao ni maarufu tu.
Kina Sabodo wamekuwa matajiri tangu mwaka 1800
Jifunze Kwanza namna ya Kusoma Wikipedia, imeandikwa kabisa kwenye Article Angus Madison ndio source, MTU ambaye yupo revered kama best Economic Historian wa kipindi chetu, ambaye ana awards mbalimbali kote west na East kwa Kazi zake. Kusema KAZI yake ni takataka halafu wewe huku kajamba Nani usie na source ndio unajua zaidi ni kichekesho.Mtandaoni kuna takakataka nyingi, sio kila kitu cha kuchukua kama kilivyo bila kufanya uchambuzi na upembuzi.
Sababu ni upumbavu wa Marais waislamu na viongozi waislamu adriz Malaria 2Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako kuhusu hili!? Watanzania tunakwama wapi?View attachment 3583111
Bahresa kwemye biashara ni extra ordinary man and half, wazo la azam pesa kalinunua kwa kijana mdogo sana tena jobless aliepambana kumpata for couple months. Mm wazo lile nimeanza kulisikia mwaka mmoja kabla Halijafika hapo kwa bahresa mwenyew. Nina rafiki yangu nae ana vimiradi vya hivyo kama proposala fulani fulani za kibiashara nazo anahangaikaga kuwafikia madoniMimi naamini ni utandawazi. Mfano mzuri ni Mo Dewji. Nakumbuka kuna mahali nilimuona akisema aliwahi kutafuta sana mikopo fulani hapa Tz akashindwa, akaenda kukopa South Africa.
Bakhresa ameajiri msomi mkubwa wa Harvard kutoka marekani kuendesha biashara yake ya kidigitali ya AzamPay.
Hata usikute waasia walivyokuwa wakinunua yale makampuni yaliyobinafsishwa na mkapa, walikuwa wakitumia mikopo ya nje.
Hizo Nongwa mzee πHapo kwenye kuweka wasomi kuendesha biashara zao hawana utani. Picha linaanza watoto wao wanasoma shule na vyuo vya viwango mfano angalia kina MO wamesoma IST na Georgetown University Marekani. Watoto wa Jambo yule wa Shinyanga pia kawasomesha vyuo vya maana na ndo kizazi kilichokuja kuinua Jambo hadi bidhaa zake kupatikana nchi nzima tofauti na mwanzo zilivyokuwa zinapatikana kanda ya ziwa pekee. So na sisi wamatumbi tujifunze kuwekeza kwenye elimu za watoto wetu na kuajiri watu kwa uwezo sio kwa kujuana au kubebana.
Picha linaanza kwenye kupata kazi kwa wamatumbi kuna mara rushwa ya ngono, hapo mtatoboa kweli kwa kuajiri mtu kisa tu ni demu wa Boss ?
Bomani wale wa Ilala?NYOLODO karimjee kipindi cha mwalimu alifukuzwa kabisa. Ila baadae ya mwalimu kumaliza muda wake arejea Tena π.
Hata yule chande pia viwanda vyake vya nafaka zilichukuliwa na serikali, jamaa akamfuata mwalimu ikulu , mwalimu akamwambia labda kwa kukupooza nikupe ubalozi, chande akasusua akasepa. (A Journey from Bukene)
Ila baada ya mwalimu kuondoka baadhi ya assets zake alizurudisha , hapo ndipo mwalimu akawaandikia kitabu kabisa kwa kuwaita wa asiana ni wanafiki.
Baaada ya kupata uhuru family ya bomani ndio waliokuwa matajiri kwa upande wa wazawa , nao wakapitiwa na ujamaa, mwalimu akawafuta machozi kwa vyeo kama ubalozi etc..π