lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 414
Ongeza na dhamana ya kupata Mokpo benki.Serikali hamna kubanwa banwa pressure ya kazi sio kubwa na hamna kazi kiviile tofauti na watu wa private wanafanya kazi Sana pia serikali Kuna uwezekano wa kupata vihela vya hapa na pale
.......mkopo siyo Mokpo.Ongeza na dhamana ya kupata Mokpo benki.
Sio boss akinuna hata demu wa boss akinuna lazima uone Cha motoTunakimbilia job security, taasisi binafsi boss akinuna anaweza kufukuza wafanyakazi wote na hakuna la kumfanya.
Hasira zote zinahamia kwa wafanyakazi, aisee bora tuendelee kulilia kupata kazi serikalin.Sio boss akinuna hata demu wa boss akinuna lazima uone Cha moto
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Serikali wamewapiga kitu kizito privateHadi sasa matokeo ni Serikalini 10: binafsi 0