Unadhani kwanini vijana wanapenda sana kuajiriwa serikalini kuliko kampuni binafsi?

Unadhani kwanini vijana wanapenda sana kuajiriwa serikalini kuliko kampuni binafsi?

Kazi ya mtu binafsi, boss usiku akigombana na mkewe, au kakuota vibaya usiku, akifika kazini Cha Moto mnakiona, serikalini kuzuri, kwanza ukistaafu unalipwa, na pesa zile japo sio Kama mshahara unapewa mpaka unakufa na bima kubwa ya kutibiwa unapewa, wewe na mke wako mpaka unavyokufa, na Wala sio Kama hawakaguliwi, mi nakumbuka mzee wangu alikuwa anakaguliwa kila mwezi wa sita.
 
Private maboss wanafoka sana ,yani akijisikia leo kukupiga beat anakufokea tu kama mtoto wake mamaeee sana[emoji51][emoji51][emoji51]
Leo nimeenda kwenye goli fulani, kufika tu nikakuta sura mpya. Nikauliza akina fulani wako wapi, nikaambiwa wamehamishwa.

Miongoni mwao nikamvutia waya mmoja, nikaambiwa baadhi yao walisombwa hadi na polisi na hadi sasa hawajui hatima ya kibarua chao.

Nikaishia kumuambia wasitarajie maamuzi mengine mazuri kama hadi wamekokotwa na polisi.

Private boss akiamka vibaya, huna chako
 
Back
Top Bottom