Unadhani kwanini vijana wanapenda sana kuajiriwa serikalini kuliko kampuni binafsi?

Unadhani kwanini vijana wanapenda sana kuajiriwa serikalini kuliko kampuni binafsi?

Je nini mtazamo wako juu ya wahitimu wengi wa vyuo kupenda kuajiriwa serikalini ilhali kampuni binafsi ndio zinazoongoza kwa kulipa mishahara minono ?

Mtu yuko radhi kuacha kazi kwenye kampuni binafsi yenye mshahara wa 1.5M na kwenda kupoke basic salary ya 900k serikalini

Je ni job security au fursa za mikopo ukiwa unafanya kazi serikalini ?

Au kuna sababu nyingine ya msingi inayopelekea vijana kupenda kuajiriwa serikalini ?

Embu
Hela za kuiba zipo nje nje, na pia hata ukiiba kama siyo mchoyo ukiwagawia na wakubwa hakuna kesi.
 
Mm kwa experience yangu koz now niko serikalini, hapo mwanzo nilikuwa huko private. Private unafanya kazi mpka unakoma. No time to rest, hakuna mafao sijui kama mama mjamzito wa hela ya likizo. Et mdada akipata mimba boss anachukia kwamba umepunguza nguvu kazi. To gvmnt ni virce versa
 
Kwa michango hii, basi output ya wengi wetu ni mbaya sana kiasi kwamba we can easly be replaced. Kama unajiamini unapush na una mchango mkubwa kwenye kampuni, huwezi fukuzwa au achishwa kazi kizembe. Sana sana utalazimishwa upewe mkataba wa muda mrefu na mkopo ili usiondoke.

Ukiwa unajiamini na utendaji kazi wako, huwezi kuogopa kufanya kazi private za maana ambao ndio kuna real growth na kama mmeona wenyewe, hata marais wanapenda kuwapa watu waliotoka private sector sehemu za kiuongozi kwenye mashirika na taasisi zetu za umma.

Tuboreshe michango yetu, tuache uvivu na uzembe na wizi na excuses nyingi.
 
Je nini mtazamo wako juu ya wahitimu wengi wa vyuo kupenda kuajiriwa serikalini ilhali kampuni binafsi ndio zinazoongoza kwa kulipa mishahara minono ?

Mtu yuko radhi kuacha kazi kwenye kampuni binafsi yenye mshahara wa 1.5M na kwenda kupoke basic salary ya 900k serikalini

Je ni job security au fursa za mikopo ukiwa unafanya kazi serikalini ?

Au kuna sababu nyingine ya msingi inayopelekea vijana kupenda kuajiriwa serikalini ?

Embu
Serikalini ni sehemu ambayo unaweza ukawa na miradi yako binafsi na unaiendesha bila bugudha na vitisho vya kufukuzwa kazi. Kuna ujamaa sana serikalini tofauti na kwa mtu binafsi ambaye focus yake ni kuwatumikisha hadi mzalishe faida.

Mshahara wa private lazma uutolee jasho haswaa!
 
Ukiwa na uoga wa maisha Serikalin panakufaa Ila sidhani Kama naweza kushawishika kufanya kazi serikalin labda vitengo nyeti. Zipo sehemu private Zina ubabaishaji lakini siyo zote. Yapo mashirika yamenyooka na hayana ubabaishaji na mshahara ukiingia unakuta akaunti imenona siyo mshahara wa serikali pesa ya nyanya
Hayo mashirika pia kupata sio rahisi. Kuna kitu kama MDH ama AMREF hebu niambie unaingiaje huko😅
 
Mm kwa experience yangu koz now niko serikalini, hapo mwanzo nilikuwa huko private. Private unafanya kazi mpka unakoma. No time to rest, hakuna mafao sijui kama mama mjamzito wa hela ya likizo. Et mdada akipata mimba boss anachukia kwamba umepunguza nguvu kazi. To gvmnt ni virce versa
Kwa kifupi serikalini kuna benefits kibao zinazoambatana na kibarua chako. Unahakikishiwa kazi na support ndio maana watu wengi hupendelea serikalini.
 
Comfortability. Tunapenda comfort zone kinoma.

Mtu yuko radhi akalipwe take home ya laki nane serikalini anaacha milioni nne kule Roche au GSK kisa security.

Ukifanya kazi private “za maana” ni opportunity ya kulevel up na kupata madili ya maana huko mbeleni.
Hao Roche na Gsk ni wepi mkuu tuanze kusuka cv

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hii ndio sababu hatuendelei kama nchi. Watu wanafikiria kuajiriwa serikalini ambako anajua hata akifanya makosa kiasi gani bado atabaki kazini na zaidi zaid anaweza kuhamishwa eneo moja kwenda jingine.
Makampuni binafsi hayana mambo hayo ilhali wapo watu wengi mtaani wenye sifa sawa na wanatafuta kazi.
Nilitamani sana Serikali ingeanza kutoa ajira kwa mikataba ya miaka mitatu mitatu na kuendesha ofisi za umma kama makampuni yafanyavyo ikiwa ni pamoja na kuwaondoa kabisa kazini wazembe.
Ndani ya miaka hiyo iangalie productivity ya mtumishi kulingana na rules/agreements watakazo kua wameziweka.
Yakifanyika haya, basi hata tatizo la ajira linaweza kupungua kwa wanaohitimu. Maana juhudi yako ndio itakufanya ubaki kazini.

Natamani iwe hivyo lakini!
 
Hela za kuiba zipo nje nje, na pia hata ukiiba kama siyo mchoyo ukiwagawia na wakubwa hakuna kesi.
Ajira Private sector ndo mpango mzima Contract ikiisha unalamba NSSF yako unarekebisha mambo unaanza na moja sio serikalini usubiri kustasfu miaka 55 kwa hiyari ndo ulambe mkwanja swala la Job security sio kweli Mwendazake alitumbua majipu watu kibao bila kufuata taratibu za utumishi wa umma.
 
Ndugu hata hayo makampuni uliyoyataja bado chenga tu Ndugu, kuna jamaa yetu alikuwa TBL alipatwa na redundancy yeye na wengineo wenye umri kuanzia 45+ katika hiyo kampuni, na hao wote walikuwa skilled labour, kitu kingine hayo mashirika hayana zile pension za kila mwezi baada ya kustaafu, ukishapewa chako biashara ndio imeisha sasa hali hiyo ajira ya serikali bado ni bora sana ina faida nyingi zinazoonekana na zisizo onekana.
Wabbilah Tawafiq
Adhani elimu ya pensheni haijaeleweka
 
Ndugu nakushaori usiache hiyo kazi ya ualimu wala usidanganyike na wala usidanganywe hata kidogo kuacha kazi, cha msingi unaweza kupiga hizo mishe zingine huku ukiwa unaendelea na ajira yako. Wakati tuko kanda ya ziwa miaka minne nyuma kuna mwalimu kama wewe aliachaga kazi serikalini akaingia katika NGOs ya watu wa Wamerekeni hapa na pale lile shirika likafunga ofisi kulingana na sera za mwendazake hiyo ilikuwa mwaka 2020, mpaka hivi tunavyokwambia jamaa bado yupo kwenye kuti kavu na uamuzi aliouchukua kipindi kile mchizi anajuta sana. Kiongozi kama umeajiliwa serikalini usiache kazi eti ukajiajiri, usiache kazi serikalini eti uende sekta binafsi huo ni uchawi Comrade nakuhusia tulia hapo ulipo usishawishike kuacha kazi serikalini, wewe uliona ajira gani mwajiliwa hata kama akipatwa na maradhi ya muda mrefu ya kumfanya ashindwe kufika ofisini lakini bado ataendelea kulipwa ili mradi kuwe tu na taarifa zake katika ofisi husika je kwa sekta binafsi hili suala linawezekana? ajira ni serikalini, ajira ni serikalini, namalizia tena AJIRA NI SERKALINI......................................................................................
Huyo hakuwa anaplan kama ilivyo Kwa vijana wengi, pia maisha ni ndoto je unataka uwe wapi Kwa muda gani, only 35% ya kazi za serikali ndio zipo kwenye asali 65% watu wanateseka bila kujijua wakisubiri maisha mazuri pindi watakapo staafu, yaani uteseke 30yrs kabla ya kustaafu
 
Mm kwa experience yangu koz now niko serikalini, hapo mwanzo nilikuwa huko private. Private unafanya kazi mpka unakoma. No time to rest, hakuna mafao sijui kama mama mjamzito wa hela ya likizo. Et mdada akipata mimba boss anachukia kwamba umepunguza nguvu kazi. To gvmnt ni virce versa
Kosa mnalolifanya ni kugenerised hivi mlikuwa private za maana au mnaongelea vibarua?
 
Kwa kifupi serikalini kuna benefits kibao zinazoambatana na kibarua chako. Unahakikishiwa kazi na support ndio maana watu wengi hupendelea serikalini.
Hata huko serikali ni only 35% waliobaki mnavyosema per dm hata hawaelewi
 
serikalini patamu, wiki ya pili sijaingia class na nitaingia kuanzia tar2 baada ya hotuba ya mama, akiongea anavyotaka yeye nitamaindi sana
Sasa chukua your salary gawanya Kwa mwezi husika then tofuta hizo week mbili mwajili wako amepoteza kiasi gani? Utakuta nothing,
 
Back
Top Bottom