Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkistaafu huwa mnapewa yale malipo ya kila mwezi huko private?Hahahaha. Umeongea fact sana. Hata Mimi nawashangaa wanaojenerolize. Watu tuko private and we have all benefits ambazo watu wa serikalin wanaozipata ni wale top positions
Taasisi ninayofanya kazi ninakatwa NSSF na mwajiri wangu pia anapeleka michango yetu kwa mjibu wa Sheria. Nikistaafu napata mafao yangu Kama ilivyo kwa wafanyakazi wa serikaliMkistaafu huwa mnapewa yale malipo ya kila mwezi huko private?
Fikiria unapewa gari, posho, na mshahara wako upo palepale halafu kazi yenyewe unaenda kusimamia mkandarasi asiibe sementi kwenye zege na umeambiwa asizidishe kiasi fulani. Yaani unakaa tu pale kumwangalia unakula posho na kurudishwa nyumbani kwako.Je nini mtazamo wako juu ya wahitimu wengi wa vyuo kupenda kuajiriwa serikalini ilhali kampuni binafsi ndio zinazoongoza kwa kulipa mishahara minono ?
Mtu yuko radhi kuacha kazi kwenye kampuni binafsi yenye mshahara wa 1.5M na kwenda kupoke basic salary ya 900k serikalini
Je ni job security au fursa za mikopo ukiwa unafanya kazi serikalini ?
Au kuna sababu nyingine ya msingi inayopelekea vijana kupenda kuajiriwa serikalini ?
Embu
Mtu wangu wa karibu anafanya kazi kampuni binafsi mshahara milioni tatu hiyo ni basic salary. Ana bima ya strategies. Easter na Xmas wanapokea double salary, wana overtime na fedha za likizo. Ni kampuni ya wageni kutoka Holland lakini boss wa tz ni mtanzania. Ndugu huyo boss ana mdomo balaaaa na akisema neno moja tu kwa hao wazungu wenye kampuni kazi unafukuzwa. Yaani huyu ndugu yangu ana stress balaa na ulifika muda wa kujaza fomu za performance kazini chini ya huyo boss anakwambia wanatamani asiwepo balaa zaidi siku ya ku renew mkataba.Ukiwa na uoga wa maisha Serikalin panakufaa Ila sidhani Kama naweza kushawishika kufanya kazi serikalin labda vitengo nyeti. Zipo sehemu private Zina ubabaishaji lakini siyo zote. Yapo mashirika yamenyooka na hayana ubabaishaji na mshahara ukiingia unakuta akaunti imenona siyo mshahara wa serikali pesa ya nyanya
Ni kweli ndugu hayo yapo kwa baadhi ya Makampuni. Lakini tukumbuke piaa maboss watata, wakatili na wenye majivuno Kama hayo wapo pia badhi ya taasisi za serikali. Kama watumishi wanachapwa viboko na ni serikalini.Mtu wangu wa karibu anafanya kazi kampuni binafsi mshahara milioni tatu hiyo ni basic salary. Ana bima ya strategies. Easter na Xmas wanapokea double salary, wana overtime na fedha za likizo. Ni kampuni ya wageni kutoka Holland lakini boss wa tz ni mtanzania. Ndugu huyo boss ana mdomo balaaaa na akisema neno moja tu kwa hao wazungu wenye kampuni kazi unafukuzwa. Yaani huyu ndugu yangu ana stress balaa na ulifika muda wa kujaza fomu za performance kazini chini ya huyo boss anakwambia wanatamani asiwepo balaa zaidi siku ya ku renew mkataba.
Kwa sababu ni wajingaJe nini mtazamo wako juu ya wahitimu wengi wa vyuo kupenda kuajiriwa serikalini ilhali kampuni binafsi ndio zinazoongoza kwa kulipa mishahara minono ?
Mtu yuko radhi kuacha kazi kwenye kampuni binafsi yenye mshahara wa 1.5M na kwenda kupoke basic salary ya 900k serikalini
Je ni job security au fursa za mikopo ukiwa unafanya kazi serikalini ?
Au kuna sababu nyingine ya msingi inayopelekea vijana kupenda kuajiriwa serikalini ?
Embu
Na huo mwaka wa ugonjwa unaweza kuwa part time katika biashara zako na mshahara unaingia.Serikalini ukiingia ndio umeingia unafanya bila presha ya kufikia malengo. Ata uumwe mwaka kibarua chako utakikuta.
Kuna pesa nje nje nyingi za kuiba
TunapataSerikalini ukistaa unaendelea kulipwa na psssf kwa 1/540 x miezi uliyotumikia x mshahara wa mwisho.
Je private nanyi mko hivyo?
Vizuri sana. Kumbe popote kambi.Tunapata
540k mshahara wa ticha Diploma,,,daa walimu maisha magumuSerikalini ukistaa unaendelea kulipwa na psssf kwa 1/540 x miezi uliyotumikia x mshahara wa mwisho.
Je private nanyi mko hivyo?
yaani mimi nkifikilia iyo na nkatafakali na soko la ajira lilivyo gumu naona angalau niende zangu kusomea driving angalau niendeshe ata viongozi serikalini jamaniFikiria unapewa gari, posho, na mshahara wako upo palepale halafu kazi yenyewe unaenda kusimamia mkandarasi asiibe sementi kwenye zege na umeambiwa asizidishe kiasi fulani. Yaani unakaa tu pale kumwangalia unakula posho na kurudishwa nyumbani kwako.
Na ndio dk ya 10 sasa[emoji3][emoji3]Hadi sasa matokeo ni Serikalini 10: binafsi 0