Kazi ya mtu binafsi, boss usiku akigombana na mkewe, au kakuota vibaya usiku, akifika kazini Cha Moto mnakiona, serikalini kuzuri, kwanza ukistaafu unalipwa, na pesa zile japo sio Kama mshahara unapewa mpaka unakufa na bima kubwa ya kutibiwa unapewa, wewe na mke wako mpaka unavyokufa, na Wala sio Kama hawakaguliwi, mi nakumbuka mzee wangu alikuwa anakaguliwa kila mwezi wa sita.