Unadhani ni kipi bora Iran ifanye ili ipate ushindi na kutoa funzo kwa Israel?

Hata Saud Arabia, UAE hawataki kabisa kuwaona hao brotherhood maana ni tishio kwa hizo Falme isipokuwa Qatar pekee.
Uisilamu unahimiza Muslims Brotherhood bila hivyo hakuna Uisilamu.

Saudi Arabia yenyewe haijiweki wazi kuwa ni Islamic State kwasababu ambazo zinajulikana wazi wazi.
 
Hakika kile kitabu kina aya zinazohamasisha chuki dhidi ya binadamu wengine.
 
Wananchi wa Israel wakifanya hivyo watakuwa wametumia hekima sana kwani hali ilivyo serikali ya Netanyahu iliyopo madarakani imewaponza na kuwafanya waishi maisha ya wasi wasi kama wasudani na wasomali.
Wakatoliki wa Spain na Portugal waliweza kuwatoa wavamizi wa Kiarabu kutoka huko Hejazi, Israeli nao watafanikiwa tu.
 
Iran ilishajaribu kuwa karibu na marekani kuna kipindi lakin wamarekani wana kinyongo

bado wanakumbuka Iran revolution ambapo wanafunzi wa marekani waliuliwa kwa makusudi na serikali ya mapinduzi.

Irani imejiweka kua adui wa maisha wa israel hasa ukizingatia hili tukio la octobar 7
Kabla happ ingeweza kuachana na sera zake zinazolenga kuingamiza israel na wangekua marafiki tu
Rejea uhusiano wa misri na israel
Lebanone na israel
UAE na israel
hata huu kabla ya vita wa israel na saudi arabia
 
Ushauri wa aliyekuwa Raisi wa Russia ndugu Medvedev anashauri vita ipigwe mashariki ya kati hili heshima na adabu irudi, la sivyo Israel watakuwa wanawachezea shele.
 

Attachments

  • Screenshot_20240801-173648.png
    386.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240801-173607.png
    213.6 KB · Views: 3
Suluhisho ni Nuclear tu
 
Suluhisho ni Nuclear tu
Kwa vile Iran imekiri ina vichwa 15 vya nyuklia basi itapata ushindi mkubwa wakitoa tamko kama la Urusi kwamba pindi usalama wa kuendelea kuwepo kama nchi ukiongezeka basi itabidi tutumie nyuklia kuipiga Israel.
Waisrael ambao tayari wameshataharuki wataipindua serikali yao kabla hata Iran haijaingia,
Siku moja kipindi cha joto kali wakati wa vita baina ya Pakistan na India wapikistan walisema wana bomu la kuongeza hewa ya joto ambalo walikusudia kulitumbua muda huo kuelekea New Delhi.
 
Wananchi wa Israel wakifanya hivyo watakuwa wametumia hekima sana kwani hali ilivyo serikali ya Netanyahu iliyopo madarakani imewaponza na kuwafanya waishi maisha ya wasi wasi kama wasudani na wasomali.
Unafikiri hayo maamuzi ya Netanyahu ni ya kwake as individual? Hiyo ni project ya nchi wewe,unamfahamu vizuri Ariel Sharon?
 
Kwa akili yako unafikiri kumiliki vichwa vya nuclear ni sawa na kwenda Vingunguti kununua vichwa vya ng'ombe kwa ajili ya supu?
 
Kwenye bandiko lako umekiri vitu vitatu either kwa kujua au kutojua.
Umetambua kuwa Israel ina zana bora za kivita na n nguvu za kivita;
Umekiri kwamba Iran ilipata hasara na pia umekiri kwamba mbinu waliyoitumia hapo awali hakikuzaa mafanikio.
Hongera sana
 
Ing'oe kichwa cha mwizraaeli jeuri.
 
Safari hi Iran atafumua mpaa wa Israel watajuta hata kulitamka jina la Iran kwenye midomo yao tena.

Kipigo nikikubwa sana kina kuja na Yemen atatoa dozi pia alijipanga kulipa ya Al Houdaida kimemsimamisha ni hayo mauwaji ya Ismail Al Hania R.I.P
 
Aaaaahhhh kummbe its all about uislamu?
 
Aaaaahhhh kummbe its all about uisilamu?
Safari hi Iran atafumua mpaa wa Israel watajuta hata kulitamka jina la Iran kwenye midomo yao tena.

Kipigo nikikubwa sana kina kuja na Yemen atatoa dozi pia alijipanga kulipa ya Al Houdaida kimemsimamisha ni hayo mauwaji ya Ismail Al Hania R.I.P
Unajua kuchagua ndoto nzuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…