Unadhani ni kipi bora Iran ifanye ili ipate ushindi na kutoa funzo kwa Israel?

Nipo hapa Phuket Thailand, waisrael kibao wamekimbia huko na wanasema labda hawatarudi kabisa.

Poleni sana we lini utaenda lala chini ya mwembe unaweza muona Yesu 😄
Wee nenda kabusu jiwe huko iwachangia saudi arabia mshiko.Masaa sabini na mbili yameisha Iran kaishia kubweka tuu hajafanya kitu.
Ogopa sana mtu aliyekaa kimya anakusubiri.
 
Wee nenda kabusu jiwe huko iwachangia saudi arabia mshiko.Masaa sabini na mbili yameisha Iran kaishia kubweka tuu hajafanya kitu.
Ogopa sana mtu aliyekaa kimya anakusubiri.
Lini utaenda onyesha supu zako kanisani? We ndiye umpangie Iran sa ngapi apige, katazame Breaking news ya Al Jazeera. Iran anamjibu Israel sitaki unibembeleze hata utume marafiki zangu wanisemeshe kipigo kinakuja tu. We kaa mkao wa kuliwa tu 😄
 
Ikupige wewe
 
Mkuu mbona hatusikii wayahudi wakiuliwa huko Iran kama wapalestina wanavyouliwa na Israel? Hali yakua wapo wayahudi wa kutosha tu Iran
Punguza chuki mkuu uongeze siku zako za kuishi
 
Kwa taarifa yako Iran ikiingia vitan na Israel waarabu wataisaidia Israel. Ujasusi mwingi wa Israel ndani ya Iran wanaidiwa na waarabu.
 
Chakufanya Iran ahakikishe kwanza amejidhatiti kwa mifumo ya ulinzi wa anga katika maneno yote sensitive, cha pili afanye utafiti wa kina kwamba ni aina gani ya makombora ambayo hayawezi kuzuiwa na mifumo ya ulinzi ya adui pia afahamu kwamba kadiri kombora linavyosafiri kwa umbali mrefu ndivyo uwezekano wa kudunguliwa unakuwa mkubwa
 
Iran atapa kipigo cha Mbwa koko
 
Imimine mvua za makombora ya ballistic na drones kama zote
 
Mimi nadhani wazamishe meli za Marekani na kuipindua serikali ya Jordan kwa wakati mmoja.
WW1 marekani hakuhusika kwenye vita mpaka pale Ujerumani alipozamisha Meli za marekani zilizokuwa zikipeleka vyakula Uingereza ndipo Marekani akaingia rasmi kwenye vita dhidi ya Ujerumani na kumaliza 1WW. Hapo ndipo Marekani akaja na plan ya kutengeza uchumi wa bara zima la Ulaya baada ya uharibifu uliosababishwq na vita vya kwanza vya dunia.
 
Wabongo bana, mmekaa tandale kwa mfugambwa mnashabilkia vita kama simba na yanga! Hata hamjawahi kusikia hata mlio wa baruti tu za kupasua mawe! Kweli kuna kitu tuna tatizo kwenye DNA zetu haijagundilika kiscience sijui tuendelee na maombi tu, ndivyo tunavyoviweza
 
☢️☢️☢️☢️NUKE☢️☢️☢️☢️
 
Mimi nadhani wazamishe meli za Marekani na kuipindua serikali ya Jordan kwa wakati mmoja.
Shida ndio hawawezi, implication moja wapo ni kwamba kuzisha meli ni umenunua ugomvi na mmarekani direct, itan hawez fanya ujinga huo
 
Iran hawawezi kuifanya Israel chochote cha maana, kwasasa wanafahamika siri zao zote, hawawezi kumsumbua myahudi kwa lolote.
 
Idara za ujasusi kwa muda mrefu zinatafuta vita na Iran na ktk hili mpango ume tick hii vita itairudisha nyuma Iran miaka 100. Keep cool
 
Hizo plan zako zitagharimu miaka 20 hadi 30 bado tu una hasira?
 
Idara za ujasusi kwa muda mrefu zinatafuta vita na Iran na ktk hili mpango ume tick hii vita itairudisha nyuma Iran miaka 100. Keep cool
Wewe unalijua hili ila tehran kwenyewe hawalijui
Jf kuna wajuvi nyie khaaaaa🤔😀😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…