Unahitaji shingapi ili usifanye kazi tena?

ingetakiwa kuwe na mfumo ambao kila mtu anaweza kupata mahitaji maalum kirahisi, haya mambo ya tajiri/maskini yanakandamiza watu
 
Hapo pagumu mno!
Pesa ni kama chakula ama maji ya kunywa japo tofauti yake ni kidogo
Pesa imekuwa hitajio la kila siku kwa mwanadamu ili kutimiza mahitajio ya kila mmoja wetu.
 
Ukiwa na hela nyingi ulimwengu hauwezi kuwa na vibe kwako.

Yani stimu ya dunia kuifaidi vizuri unatakiwa usiwe special sana uwe ume balance hivi.

Ukiwa na kila kitu life linakuwa bored ni sawa na uachwe uishi peke yako hii dunia ujimilikishe chochote. Hatuta enjoy
 
lakini bado watu wanapambana wawe na kila kitu
 

Usifanye kazi ili iweje?
 
Kuacha kufanya kazi is the beginning of your end. Uache kufanya kazi ili ufanye nini sasa? Ulale au upulizane au uangalie TV siku nzima? Huo ni uzwazwa. Sema ufanye kazi under no pressure. Ufanye mambo kwa ufanisi.
Umewahi kufikiri kwenye hii miaka ya artificial intelligence robots zikianza kuwepo hadi vijijini utafanya kazi gani? Miaka 30 iliyopita ukiwa na taarifa ya kupeleka kijiji jirani ulikuwa unatuma mtu, leo taarifa hiyo hiyo unaipeleka sehemu yoyote ulimwenguni kwa sekunde chache. Kwa hiyo hoja ya mwandishi ipo na inafikirisha sana sababu huko mbeleni tutakuwa hatuna kazi za kufanya anyway.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…