Unahitaji shingapi ili usifanye kazi tena?

Unahitaji shingapi ili usifanye kazi tena?

Sasa kila mtu akipata kiasi anachokitaka na akakaa tu bila kazi kutakua na maisha? Hizo hela utazitumia kwenye nini wakati itakua hakuna uzalishaji? Kila mtu akiwa na hela nyingi,vitu vitapanda bei,itafika utanunua kilo ya sukari kwa shilingi laki 5 coz demand itakua kubwa kuliko supply,kuna watu wana hela za kutumia mpaka wajukuu zao ila bado wanafanya kazi,Elon musk,Bill Gates,Trump....

Acha mawazo ya kitoto,kufanya kazi ndio uhai wenyewe na pia ndio huduma kwa wengine.
ingetakiwa kuwe na mfumo ambao kila mtu anaweza kupata mahitaji maalum kirahisi, haya mambo ya tajiri/maskini yanakandamiza watu
 
Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi.

Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba hutohitaji kufanya kazi tena? Na kama inawezekana, ni kiasi gani cha fedha kinahitajika?
Hapo pagumu mno!
Pesa ni kama chakula ama maji ya kunywa japo tofauti yake ni kidogo
Pesa imekuwa hitajio la kila siku kwa mwanadamu ili kutimiza mahitajio ya kila mmoja wetu.
 
Ukiwa na hela nyingi ulimwengu hauwezi kuwa na vibe kwako.

Yani stimu ya dunia kuifaidi vizuri unatakiwa usiwe special sana uwe ume balance hivi.

Ukiwa na kila kitu life linakuwa bored ni sawa na uachwe uishi peke yako hii dunia ujimilikishe chochote. Hatuta enjoy
 
lakini bado watu wanapambana wawe na kila kitu
 
Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi.

Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba hutohitaji kufanya kazi tena? Na kama inawezekana, ni kiasi gani cha fedha kinahitajika?

Usifanye kazi ili iweje?
 
Kuacha kufanya kazi is the beginning of your end. Uache kufanya kazi ili ufanye nini sasa? Ulale au upulizane au uangalie TV siku nzima? Huo ni uzwazwa. Sema ufanye kazi under no pressure. Ufanye mambo kwa ufanisi.
Umewahi kufikiri kwenye hii miaka ya artificial intelligence robots zikianza kuwepo hadi vijijini utafanya kazi gani? Miaka 30 iliyopita ukiwa na taarifa ya kupeleka kijiji jirani ulikuwa unatuma mtu, leo taarifa hiyo hiyo unaipeleka sehemu yoyote ulimwenguni kwa sekunde chache. Kwa hiyo hoja ya mwandishi ipo na inafikirisha sana sababu huko mbeleni tutakuwa hatuna kazi za kufanya anyway.
 
Back
Top Bottom