Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
Kwa taarifa yako tu ni kwamba Eminem alikaririwa kuwa anataman angekuw na Rangi nyeusi.. Ila ndio hivyo kashakuw mzungu hana jinsi.Ya ukiwa mzungu lazima upewe dunia ya kipekee hata kama hauna cha maana unachofanya.
Na ni Rapper pekee Mzungu pure aliyependwa zaidi na Waafrica na mablack Amerika