Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

Kwa taarifa yako tu ni kwamba Eminem alikaririwa kuwa anataman angekuw na Rangi nyeusi.. Ila ndio hivyo kashakuw mzungu hana jinsi.

Na ni Rapper pekee Mzungu pure aliyependwa zaidi na Waafrica na mablack Amerika
Nakubaliana na ww kwa yote uliyoongea, lkn Em amebebwa zaidi na rangi yake kupitia kwa wazungu wenzake. Kwanza Em mwenyew ameona hawezi kufanya mziki wake ukaeleweka au kupendwa bila kujifunza chochote kutoka kwa Pac.

Na sio yeye tu wako wengi waliofanya mziki baada ya kumfuatilia Pac na kujifunza mengi kutoka kwake.
Nakuwekea video ya Em mwenyew akikiri yeye na 50 Cent kwamba Pac alikuwa sio mwanamziki wa kawaida.

Ukweli utaendelea kuwa ukweli tu hata kama watu watajitahidi kuupinga lkn haitawezekana.
 
Attachments

  • Eminem 50Cent Interview after 2Pac Death - McMigxeRap.mp4
    9.7 MB
Kuna watu humu wameskiliza nyimbo mbili tatu za Pac na BIG bas wanajiona tyr washakuw wataalam wa HIPHOP na ni WAHENGA wa hii sanaa.. Kwamba wanawajua MARAPA wote wakali wa enzi hizo mpka sasa.

Kitu ambacho si kweli.

Mbili story za vijiweni + Google vinaleta mkanganyiko sana.

Kwanza nimeshangaa sana.. Kusema BIG ana Flow .. Nimeshangaa EMINEM kuwekwa ktk kundi la akina lil Wayne..

Pia nimeshangaa kuona Kendrick akibezwa.. Et hajui RAP.

Ukisema FLOW kali za RAP mweke BIG na Snoop Double G Y... utasema nan ana flow kali?!!!

Sijaona Mchambuzi wa HIPHOP Aliyekwiva.

Ni hayo.

(karibu ktk Mtanange wa kubishana kwa HOJA)
Mkuu naomba nikwambie ukweli kuwa mimi nimfuatiliaji wa mziki wa hip hop toka miaka ya 90s. Naifaham hip hop kama vile mzazi anavyoweza kufahamu idadi ya watoto wake. Mimi nilimuweka Eminem katika kundi la kina Wayne kwa sababu yey mwenyew Em alishakubali kuwa katika kundi hilo.

Kitendo cha Em kumtafuta Wayne ili watengeneze track ya 'No love' tayari kishaonesha kuwa Em mwenyew kakubaliana na uwezo wa Wayne na tayari wako katika level zinazolingana kuimba nae. Waswahili wanakwambia ndege wafananao ndio huruka pamoja, nafikiri mpaka hapo tayari ushanielewa.

Lakini pia kama kweli wewe ni mkongwe na mfuatiliaji wa mziki huku, tafadhali naomba uniandikie nyimbo 3 za Em afu utufafanulie kwamba zinafaida au tija gani katika jamii kama nilivyofafanua mimi nyimbo za Pac katika post namb #26 na #86. Ukimaliza utuandikie na nyimbo 3 za Big ambazo zilikuwa na faida au tija yoyote kama vile nyimbo za Pac.

Karibu tujadili kwa fact na sio kukurupuka, baada ya kuona fact zangu za maandishi haukuzielewa kwenye mada nikaamua kukutumia na video kabisa umuone huyo Em wako anavyomkubali Pac.
 
Kama alit-mbewa na 2pac mkewe/mbususu yake basi pac alikua mkalisana

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Umeongea ukweli mchungu mkuu. Tatizo nimegundua hawa vijana wengi wamekuja humu kubisha bila kumjua wanaembishia.

Yan ni watu ambao hawamjui Big wala historia ya Big bali wamekuja tu kuweka ubishi baada ya kufurahia neno linaloitwa Big.
 
Nakubaliana na ww kwa yote uliyoongea, lkn Em amebebwa zaidi na rangi yake kupitia kwa wazungu wenzake. Kwanza Em mwenyew ameona hawezi kufanya mziki wake ukaeleweka au kupendwa bila kujifunza chochote kutoka kwa Pac.

Na sio yeye tu wako wengi waliofanya mziki baada ya kumfuatilia Pac na kujifunza mengi kutoka kwake.
Nakuwekea video ya Em mwenyew akikiri yeye na 50 Cent kwamba Pac alikuwa sio mwanamziki wa kawaida.

Ukweli utaendelea kuwa ukweli tu hata kama watu watajitahidi kuupinga lkn haitawezekana.
Mie sijapinga kuwa Pac yupo juu ya Eminem

Nilichopinga ni kwamba EMINEM mmemu-undermine mno..

Pili style yake ipo tofaut hakuna Rapper anayeflow kwa ile style yake ndio maana nikasema ana Dunia yake mwenyewe.
 
Mkuu naomba nikwambie ukweli kuwa mimi nimfuatiliaji wa mziki wa hip hop toka miaka ya 90s. Naifaham hip hop kama vile mzazi anavyoweza kufahamu idadi ya watoto wake. Mimi nilimuweka Eminem katika kundi la kina Wayne kwa sababu yey mwenyew Em alishakubali kuwa katika kundi hilo.

Kitendo cha Em kumtafuta Wayne ili watengeneze track ya 'No love' tayari kishaonesha kuwa Em mwenyew kakubaliana na uwezo wa Wayne na tayari wako katika level zinazolingana kuimba nae. Waswahili wanakwambia ndege wafananao ndio huruka pamoja, nafikiri mpaka hapo tayari ushanielewa.

Lakini pia kama kweli wewe ni mkongwe na mfuatiliaji wa mziki huku, tafadhali naomba uniandikie nyimbo 3 za Em afu utufafanulie kwamba zinafaida au tija gani katika jamii kama nilivyofafanua mimi nyimbo za Pac katika post namb #26 na #86. Ukimaliza utuandikie na nyimbo 3 za Big ambazo zilikuwa na faida au tija yoyote kama vile nyimbo za Pac.

Karibu tujadili kwa fact na sio kukurupuka, baada ya kuona fact zangu za maandishi haukuzielewa kwenye mada nikaamua kukutumia na video kabisa umuone huyo Em wako anavyomkubali Pac.
Narudia tena.. Pac Bado yupo juu ya Eminem naomba niliweke sawa hilo ili usijichanganye tena.

Pili.

Hoja ya kusema Eminem alimtafuta Lil wafanye kazi ndio kitu kilichomfanya umuwek kund moja na Lil bas umepotea.. Kufanya kazi na msanii flani hakufanyi wewe uwe Underdog. Ndio maana mpk leo Em anaaminika sana na anapendwa kwa kuw sio Mjivuni.

Haya Tunarud hapo kuwa Em ana ngoma gani kali za jamii blah blah blah..

Mie nakupa hizi chache.. Hizi nyimbo zinahusiana moja kwa moja na Maisha yake Em..

Alipitia Maisha Magumu mnoo.. Wana same stry na Pac ila kwa ubaya zaidi huyu Jamaa alikosa upendo wa Baba mpk na Mama. Wote alikosa kampan unawez imagine aliishi vipi

Check hii ngoma na uifatilie story yake na baada ya hapo kuna ngoma aliitoa kusawazisha Mambo bwtwn yeye na Mama yake.

- Clean out my closet
 
Mkuu nimefuatilia kile ulichoandika hapa. Naweza kusema kwamba umechambua vizuri na nimeelewa. Tofauti na mwanzo ulikuwa haujafungua code ya kile unachokizungumza.

Hakika Em ni msanii mkubwa, pamoja na rangi yake lakini ameweza kutoboa katikati ya wasanii weusi ambao hapo zaman ndo waliokuwa wanajiona au wanajulikana kuwa ndio wenye mziki wao. So katika hili namkubali sana Em kwan haku give up kwa kile alichokuwa anapenda kukiwakilisha.

So kwa namna fulan nakubaliana na ww mkuu.
 
Mie sijapinga kuwa Pac yupo juu ya Eminem

Nilichopinga ni kwamba EMINEM mmemu-undermine mno..

Pili style yake ipo tofaut hakuna Rapper anayeflow kwa ile style yake ndio maana nikasema ana Dunia yake mwenyewe.
Mkuu Em ni mzuri kwa utungaji, uandishi na uimbaji. Lakini kuhusu swala la style mi nafikiri wasanii wengi wana style zao za uimbaji. Mfano hata Em mwenyew uimbaji wake wa 2002 sio huu wa 2022.

Umeshawahi kufuatilia uimbaji wa busta rhymes?
Yule jamaa hata wamarekani wenyew ili wamuelewe anachoimba inabidi watege sikio kwa makini karibu na radio, otherwise hawawezi elewa alichoimba katika nyimbo yake.

So kila mtu ana namna yake ya kuimba na kufikisha ujumbe wa kile anachoimba.
 
Sasa ndio usimfananishe na wakina Lil wayne.. kile kichwa kingine
 
Kuna watu humu wameskiliza nyimbo mbili tatu za Pac na BIG bas wanajiona tyr washakuw wataalam wa HIPHOP na ni WAHENGA wa hii sanaa.. Kwamba wanawajua MARAPA wote wakali wa enzi hizo mpka sasa.

Kitu ambacho si kweli.

Mbili story za vijiweni + Google vinaleta mkanganyiko sana.

Kwanza nimeshangaa sana.. Kusema BIG ana Flow .. Nimeshangaa EMINEM kuwekwa ktk kundi la akina lil Wayne..

Pia nimeshangaa kuona Kendrick akibezwa.. Et hajui RAP.

Ukisema FLOW kali za RAP mweke BIG na Snoop Double G Y... utasema nan ana flow kali?!!!

Sijaona Mchambuzi wa HIPHOP Aliyekwiva.

Ni hayo.

(karibu ktk Mtanange wa kubishana kwa HOJA)
Mkuu kuhusu Flow ni marapa wengi kitambo kile walikuwa vizuri sana nitakutajia baadhi niliowah kuwasikiliza mfano
MosDef,Pharaoh Monch, Black Thought ni wng sana mkuu na sio Flow tuu hata Line zao zilikuwa Hatar sana
Sasa kwako wewe Big ma Snoop unawaweeka kundi gani kwenye Flow au uandish
 
hata kiuandishi BIG hamsogelei Snoop.. (snoop ni full package)
 
kwa nyongeza tuuu... kuna vichwa vikali ambavyo vilikuwa ndan ya makundi ya RAP ukiachana na hawa SOLO ARTIST... mfno pale ktk kundi la Lost Boyz... kuna miamba wakina Mr. Cheeks, Freaky Kah, na K Chrys... hawa Jamaa wana flow intact sana..

so kujudge flan ni bora kuliko flan.. maybe judgement iwe kwenye MAFANIKIO not otherwise.. ile Era ya 90's kulikuw na vichwa sana... up to 2005's hapo... RAP ikaingiliwa na wakina Wiz khalifa, Lil, T.I etc..
 
Ahsante, nashukulu kama niandikacho ni utumbo ila swali lako la kwanza nshatolea majibu thread ya juu,
Kuhusu Jay na Em nenda kafatilie R.D album ya Jay ilikua mwaka gani na Infinite ya Em ilikua mwaka gani alafu uje uniambie huo mda Pac alikua yupo wapi.
Unalinganishaje underground album (infinite) na Reasonable Doubt? Infinite iliyouza kopi 70? By the way Jay z ana catalogue ya kutosha kabla ya RD. Fuatilia.
 
Yeap wanaheshima zao wanazo stahili na wanapewa mpaka now na 2pac anaheshima yake anayo stahili na apewe, na hata hao waliomfata wanaheshima yao wanayo stahili kil mmoja hawatakiwi kuvunjiwa heshima zao kila mmoja kwa nafasi yake.

Naona shida ni tupac kung'aa zaid kuliko hao ndo kinachowaumiza, bas pambana kuprove wrong kitu walichoshidwa odds wake wote tangu yupo hai hadi wakaona wamuue but he still shining..
Hakuna anayebisha kwamba Pac was ill, one of the greatest. Tatizo nyie stans mnataka kutulazimisha kunywa uji kwamba HE IS THE GREATEST EVER, he is not.
Kuna rappers wengine wenye impact, ability na sales at par with him or above him.
 
kwa nyongeza tuuu... kuna vichwa vikali ambavyo vilikuwa ndan ya makundi ya RAP ukiachana na hawa SOLO ARTIST... mfno pale ktk kundi la Lost Boyz... kuna miamba wakina Mr. Cheeks, Freaky Kah, na K Chrys... hawa Jamaa wana flow intact sana..

so kujudge flan ni bora kuliko flan.. maybe judgement iwe kwenye MAFANIKIO not otherwise.. ile Era ya 90's kulikuw na vichwa sana... up to 2005's hapo... RAP ikaingiliwa na wakina Wiz khalifa, Lil, T.I etc..
Yah ki ukweli nimeamini kama ww pia ni mwenzetu kwa upande wa hip hop.

Sio hawa vijana wa juzi wanaowafananisha wasaani wakubwa kama vile Nas au Coolio na Lil Bow wow.

Nakubali mkuu uko vizuri.
 
Nyie watoto Wadogo Mnataka kusema 2Pac ndo Msanii Bora tangu hip hope imeanzishwa!?
Pac ndio hip hop, na hip hop ndio Pac. Hakuna jinsi unaweza kuizungumzia historia ya hip hop bila kumtaja Pac.

Ni sawa sawa na leo hakuna mtu anaeweza kuizungumzia reggae bila kumtaja Bob Marley, au utaje basketball bila kumtaja Michael Jordan.

So ni ukweli usiopingika kuwa 2pac ndio nembo ya mziki huo.
 
Back
Top Bottom