OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Hellow wakuu,
Hawa wanawake hawa wanatuchezea sana akili, unamtongoza anaanza kula pesa zako mzigo hakupi, au anaweza kukupa mara moja kisha akakupiga parefu kymbe wakati huo kuna boya mmoja anamkamua bure kabisa bila kumpa chochote,
Basi ALLAN ROGER CURRIE anakuletea suluhisho ktk kitabu chake kiitwacho
Mode One: Let the Women Know What You're REALLY Thinking
Hiki ni kitabu bora kabisa kuwahi kutokea duniani kinachomchambua mwanamke kwa lugha rahisi kabisa inayoeleweka, kitabu hiki kina rate ya five star Amazon na Z library
Ninawawekea hapo chini
Ila kabla hujakisoma toa maoni yako kwanza unadhani kwanini mwanaume mmoja anachunwa wakati mwingine anakula bure?