Unamhonga pesa mzigo hakupi, halafu kuna boya mmoja anamtafuna bure

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Hellow wakuu,

Hawa wanawake hawa wanatuchezea sana akili, unamtongoza anaanza kula pesa zako mzigo hakupi, au anaweza kukupa mara moja kisha akakupiga parefu kymbe wakati huo kuna boya mmoja anamkamua bure kabisa bila kumpa chochote,

Basi ALLAN ROGER CURRIE anakuletea suluhisho ktk kitabu chake kiitwacho
Mode One: Let the Women Know What You're REALLY Thinking
Hiki ni kitabu bora kabisa kuwahi kutokea duniani kinachomchambua mwanamke kwa lugha rahisi kabisa inayoeleweka, kitabu hiki kina rate ya five star Amazon na Z library

Ninawawekea hapo chini

Ila kabla hujakisoma toa maoni yako kwanza unadhani kwanini mwanaume mmoja anachunwa wakati mwingine anakula bure?
 
Hao wanawake pia wapo wanaofanyiwa bure,wapo wanaokopwa na wapo wanaovunja ndoa zao kwa kuchepuka.
Kwenye mapenzi ngoma ni suluhu huku ukiwa mkali kule unazidiwa mkuu.
Mambo ni kuzidiana
 
Hii ilikuwaga zamani ila hawa wasasa wapenda hela mta-share tu na jamaa ambae hampi hela ila hawez kukunyima kabisa kama unampa hela
 
Hao wanawake pia wapo wanaoliwa bure,wapo wanaokopwa na wapo wanaovunja ndoa zao kwa kuchepuka.
Kwenye mapenzi ngoma ni suluhu huku ukiwa mkali kule unazidiwa mkuu.
Mambo ni kuzidiana
Kama unataka kuelewa why ? Nimekuwekea kitabu hapo chini
 
katika vitu havina formula ni mapenzi kamwe huwezi fanikiwa kwa wote mana hata huyo anaepewa bure kuna mahali pake anahonga kama sio leo ni kesho njia nzuri ni mkono kwa mkono nipe bidhaa nikupe cash magendo haina kuleta kesho...Ova
 
Jinsi ya kuitumia MODE ONE soma hiki

Hawa viumbe ndio maana wanatafunwa bure na wahuni sababu wahuni wanaijua siri ya game.

Binafsi nimefanya utafiti na majaribio kabla ya kushare nanyi hiki kitabu

Mshindwe wenyewe
 
Attachments

Kwanini usichambue Kwa kile ulicho kielewa kutoka kwenye kitabu?
 
Hellow wakuu,

Hawa wanawake hawa wanatuchezea sana akili, unamtongoza anaanza kula pesa zako mzigo hakupi, au anaweza kukupa mara moja kisha akakupiga parefu kymbe wakati huo kuna boya mmoja anamkamua bure kabisa bila kumpa chochote,

Basi ALLAN ROGER CURRIE anakuletea suluhisho ktk kitabu chake kiitwacho
Mode One: Let the Women Know What You're REALLY Thinking
Hiki ni kitabu bora kabisa kuwahi kutokea duniani kinachomchambua mwanamke kwa lugha rahisi kabisa inayoeleweka, kitabu hiki kina rate ya five star Amazon na Z library

Ninawawekea hapo chini

Ila kabla hujakisoma toa maoni yako kwanza unadhani kwanini mwanaume mmoja anachunwa wakati mwingine anakula bure?
Point ni zile zile tu mkuu ni kujiongeza tu.

1.Specialization and Division of Labour.
 
Back
Top Bottom