Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

Wanaopiga pia msiwapangie mpaka wawatumie sms ili mpokee simu zao.

Ni uhuru wao kutumia simu zao wanavyotaka kama mnavyotaka nyinyi.
 
ukinipigia sipokei acha sms. mwingine anapiga kama mara 8 mfululizo. tambua hata kama mimi ndo mwenye shida sitapokea simu yako jumla. unanitia hofu na kunirusha roho
Bila shaka wewe ni mhalifu na hujiamini.
 
Ndo uharifu wenyewe huo madeni uoga na kutojiamini.

Siyo Kila mtu ana kaliba ya kutuma ma sms au kujiunga kifurushi Cha sms na dk. Wengine wanajiunga dk TU.

Msikilize,kama ukimskiliza kama haeleweki.Una mkatia una mpiga block.
Sio madeni, inatokea tu; kwa mfano kuna wengine huwa wanapigiwa simu nyingi kutokana na majukumu yao, sasa ukiruhusu utajikuta kila siku wewe ni mtu wa kuumiza masikio yako; ndio maana wengine simu zao zinapokelewa na wengine, baada ya kujieleza hitaji lako, ndio unapewa appointment.
 
Ni kwel ila pia sms zipo .
Siyo Kila mtu ni mpenzi wa kutuma ma sms ndugu. Mwingine sms Zina expire bila kutumika hata Moja licha ya kuwa na sms 200 na dk 100.


Sasa dk 100 na sms 200 nianze kutuma sms,Mimi nitajuaje kama na wewe una sms ya kuweza kunijibu.

Wewe pokea nisikilize Ukiona hunielewi nikatie,Ntapiga Tena,nikiona hupokei.Hapo nitajiongeza.

Mbali na hapo una uharifu,hujiamini,uoga,madeni na bad relationship na jamii.
 
Upuuzi tu.kwenye maisha Kuna dharula.nipate tatizo niazime simu ya mtu mara moja,Kisha nianze kuchat chat kwenye simu ambayo mwenyewe hanijui wala hatuaminiani.
Mtu anaweza vumilia nikipiga simu Kisha nikawa na maongezi yenye tija ya dakika mbili.kuliko kutuma sms kwa mtu ambaye hujui ataiona,je anazo hizo sms za kukujibu.je Ni yeye atakayesoma hiyo text yako ama mchepuko wake!.maswali Ni mengi mwisho wa siku watu wapokee simu zao tu.mambo yasiwe mengi
 
Kama siyo muharifu,tapeli au Mwenye madeni .Pokea sikiliza,kama huelewi.Kata block.Au kata ndo uache kupokea simu zake.
 
Hao mara nyingi ni wale watu mungu amewajaalia either wapo kwenye ajira za private au serikalini za mda mrefu kwa hyo wanawaona wengine wote maboya kwa wakati huo siku wakifukuzwa kazi au mkataba kuisha utaona wanatafuta namba za watu kiufupi hyo ni dharau iliyopitiliza.
 
Zinaboa Nini wakati wewe ndiye mwenye maamuzi na simu Yako

Ivi ukipokea ukamskiliza ni nani au anasemaje unapungukiwa Nini,
 
Kwa sisi ambao tunatumia simu binafsi na masuala ya kazi. Mara nyingi unakuta ni mteja tena hata humjui na ni msumbufu tu wala si mteja wa maana.

Kanuni yangu ni hii:
Piga simu mwisho mara 2, sijapokea acha sms.
 
Namba 30 Kwa siku.Kwamba namba Yako umeisambaza kwenye mitandaoni??

Huna biznes unasambaza namba kwenye mitandao ya kijamii au kwenye kuta za Nyumba lazima uisome some.Hapo utahisi ni usumbufu Kumbe uliyataka mwenyewe.
 
🙌Ni kwel cjakataa nimekubali ,ni pale mtu anapopiga cmu mara nyingi unakuta Hana option nyingine ya Kutuma sms labda ana dakika tu,sawa bac kutopokea ni woga au ni ukosefu wa akili na kujiona wa maana au kuwa na princeple za kijinga HKBW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…