Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Wanaopiga pia msiwapangie mpaka wawatumie sms ili mpokee simu zao.Jaman kila mtu ana uhuru na matumizi ya simu yake...wewe kama kuna watu huko huwa unawapigia hawapokei achana nao na pia wewe ambae unapokea simu ya kila mtu pia endelea hivyo hakuna mtu atakupangia usipokee simu wakati huo ni utaratibu wako. Haya maisha tunatofautiana sio kila unachokiamini wewe lazima na wengine waamini hivyo.
Ni uhuru wao kutumia simu zao wanavyotaka kama mnavyotaka nyinyi.