Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

Okay sawa kama ni kanuni Yako hivyo kutopokea uko sahihi pia.

Lakini Mimi iwe namba ya kuzimu iwe ya wapi napokea bila kujali ni taarifa Gani napewa, coz siogopi kuface challenge yeyote. Ikiwa Niko bize siitaji usumbufu na fly[emoji3575].
Kutopokea namba si lazima kuwe kuogopa kupata challenge.

Kwanza tuelewane hapo.

Inawezekana namba zenye challenge ni zinazojulikana, zisizojulikana zimeonekana hazina challenge.

Unapigiwa simu 30 kwa siku.

Zote zinauliza "Unataka kazi?". Unajibu sitaki.

Sasa hapo challenge iko wapi?
 
We mzee bwana
Unanikumbusha Mohammed Ally alivyosema

Speaking the truth ain't bragging
 
We mzee bwana
Unanikumbusha Mohammed Ally alivyosema

Speaking the truth ain't bragging
Mara nyingine ni vigumu sana kuelewana, kwa sababu tunaishi maisha tofauti sana.

Ni muhimu kueleweshana.

You shouldn't judge someone before you walk in that person's shoes.

Watu wangekuwa wanapata simu za recruiters kama ninavyopata mimi, labda wangeelewa kwa nini sijibu simu za kutoka namba nisizozifahamu.
 
Mimi binafsi nina sababu moja kuu ya kutokupokea namba ngeni especially ninapokuwa na mke wangu..... kulinda mahusiano, kwani kuna mtu anaweza kupiga kwa kukosea na ikawa ni wa kike hiyo ni nongwa..... mpaka mke aelewe pashachafuka sana 😀😜
 
Wenye madeni makubwa na wakimbia madeni au waongo waongo.
 
Mimi binafsi nina sababu moja kuu ya kutokupokea namba ngeni especially ninapokuwa na mke wangu..... kulinda mahusiano, kwani kuna mtu anaweza kupiga kwa kukosea na ikawa ni wa kike hiyo ni nongwa..... mpaka mke aelewe pashachafuka sana [emoji3][emoji12]
Kwenye tabia hiyo, umekosea kuoa mkuu. Pole.
 
Mi mmojawapo sipokei namba mpya. Hii ni kutokana na necha ya kazi yangu.
Ila nina namba private hii ni ya familia tu ikiita lazima nipokee.
 
Kutopokea namba si lazima kuwe kuogopa kupata challenge.

Kwanza tuelewane hapo.

Inawezekana namba zenye challenge ni zinazojulikana, zisizojulikana zimeonekana hazina challenge.

Unapigiwa simu 30 kwa siku.

Zote zinauliza "Unataka kazi?". Unajibu sitaki.

Sasa hapo challenge iko wapi?
Kiranga Kutopokea sm Kwa sababu maalum n sawa, but Kwa kigezo Cha namba siijui kwahio sipokei hii inaonyesha Kuna kitu unahofia. Na hio hofu Mimi naiita uoga.
 
We vp si ujitambulishe mtu ajue ataongea na nani, sms jieleze ukijibiwa piga.
Mi hata km ninayo no yako sina muda sipokei ntakupigia nikipenda.ukiacha msg kuna umuhimu nakupigia on the sport.
 
Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni.

Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana namba yako na una shida ungependa kuongea nae. Unapiga simu hapokei. Baadae atakuja kukwambia namba ngeni hapokei.

Nini siri ya kutopokea namba ngeni? Faida zake ni zipi au hata nyinyi mnafanya bila kujua faida na hasara zake?
Ana jihami huenda ana mskandokando
 
Mara nyingine ni vigumu sana kuelewana, kwa sababu tunaishi maisha tofauti sana.

Ni muhimu kueleweshana.

You shouldn't judge someone before you walk in that person's shoes.

Watu wangekuwa wanapata simu za recruiters kama ninavyopata mimi, labda wangeelewa kwa nini sijibu simu za kutoka namba nisizozifahamu.
Yeah hii sisi wabongo inatusumbua sana being judgemental
 
Kiranga Kutopokea sm Kwa sababu maalum n sawa, but Kwa kigezo Cha namba siijui kwahio sipokei hii inaonyesha Kuna kitu unahofia. Na hio hofu Mimi naiita uoga.

Mtu mwingine atakwambia kupokea kila namba ndiyo uoga.
 
Sio namba ngeni tu, hata kama namba yako ninayo ni maamuzi yangu kupokea au kutokupokea.

Na hata nikimpigia mtu asipopokea nitaacha ujumbe na ni maamuzi yake anitafute au asinitafute, na wala sioni sababu ya kulalamika.

Simu yangu, maamuzi yangu na vivyo hivyo kwa upande wako.
 
Naona mjadala umekuwa mkubwa sana. Ila bado sijapata hoja fikirishi.

Kwanini hampokei namba ngeni... Shida ni nini? Nini kimejifiacha nyuma yake.

Manake mi binafsi, namba yoyote napokea...ngeni au ya zamani
 
huo ujinga nimeukuta kwa watu wengi sana. kuna mmoja ni hakimu mstaafu nilimtafuta mara kadhaa hakutaka kupokea cm akapishana na mchongo wa kama 10million. baada ya wiki namfuata live namuuliza shida nin nilikuwa nakupigia cm cku nzima,
akanambia uwa sipokei namba ngeni, nusu nimkate kibao,

watu wa namna iyo wengi wanakuaga wahalifu
Hahaha kila mtu na kanuni yake ya maisha siyo lazima awe muhalifu.

Umepiga simu haijapokelewa andika msg ukipenda. Huyo mstaafu hiyo haikuwa rizki yake wakati mwingine wanasema likuepukalo lina kheri.
 
Ukiona una rafiki au ndugu aaiepokea namba ngeni uyo sio wa kumuamini Sana,, huwa wana vitu vingi wanaficha kama una mpenzi na namba ngeni hapokei akiwa na wewe umepigwa na kitu kizito.
 
Mi napokea namba zote muda wowote ule, maana kwa shughuli zangu unaweza pewa dili muda wowote ule, usipopokea imekula kwako.
Saa zingine polisi wanatusaka hivyo lazima tupokee namba zao kuweka mambo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom