Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

Mimi nna madeni kama ya JMT sasa nikiona namba ngeni tu mapigo ya moyo hubadilika ghafla hivyo kupokea ni bahati nasibu tu.
 
Mimi nna madeni kama ya JMT sasa nikiona namba ngeni tu mapigo ya moyo hubadilika ghafla hivyo kupokea ni bahati nasibu tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]uwiiiiih
 
m nawasiliana na watu walio nizunguka tuu (nambazaoninazo)
sio tulkutanaga bukoba uko mwakajuzi kisa tulfanyaga kazi flani au tulbadkishana namba kwa sababu ...na ile sababu haipotena

kupokea namba ngeni inategemea na vibe tuu ila mwepesi wa kukata na kublock kabisa sekunde10 za mwanzo niwe nmekuelewa
 
Sipokei no ngeni.

Na akituma text bas ajitambulishe, vingnevyo sijibu na nafuta text enyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki mie kero.
 
Binafsi namba ngeni napokea,hata nikikuta m/call Ninakuwa na shahuku ya kujua ni nani??

Lakini kama namtafuta mtu kwa mara ya kwanza,naanza mtumia sms kuwa mie mawardat,,,,,,,,,,,,,,,,
Hebu jaribu kwangu nione. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
KUNA WENGI NAFASI ZAO ZA KAZI HAZIRUHUSU KUPOKEA POKEA NAMBA NGENI, KAMA NAMBA ZA HUDUMA KWA WATEJA.
PIGA SIMU ISIPOPOKELEWA TUMA MESEJI AU WASAP.HIVYO TU KISHA SUBIRI MUITIKIO/RESPONSE.

MIMI KWANGU HATA KAMA NI RAIS , ANAPIGA KWANGU NA SINA YAKE NAMBA SIPOKEI.

KUTOPOKEA SIMU NGENI NI NJIA NYINGINE YA KUKUFANYA UFOCUS KWENYE KAZI YAKO.
 
Huwa sipokei namba ngeni sipendi usumbufu kama ni muhimu sana acha ujumbe nitaukuta.
 
Back
Top Bottom