Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Mke hatakiwi kukupelekesha bwana.Mimi binafsi nina sababu moja kuu ya kutokupokea namba ngeni especially ninapokuwa na mke wangu..... kulinda mahusiano, kwani kuna mtu anaweza kupiga kwa kukosea na ikawa ni wa kike hiyo ni nongwa..... mpaka mke aelewe pashachafuka sana [emoji3][emoji12]