Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kutopokea namba si lazima kuwe kuogopa kupata challenge.Okay sawa kama ni kanuni Yako hivyo kutopokea uko sahihi pia.
Lakini Mimi iwe namba ya kuzimu iwe ya wapi napokea bila kujali ni taarifa Gani napewa, coz siogopi kuface challenge yeyote. Ikiwa Niko bize siitaji usumbufu na fly[emoji3575].
Kwanza tuelewane hapo.
Inawezekana namba zenye challenge ni zinazojulikana, zisizojulikana zimeonekana hazina challenge.
Unapigiwa simu 30 kwa siku.
Zote zinauliza "Unataka kazi?". Unajibu sitaki.
Sasa hapo challenge iko wapi?