Peril22
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,710
- 2,951
Nadhani hili ni jibu sahihi zaidi mkuu.Asilimia kubwa hatupokei namba ngeni kwasababu binafsi nimehitimisha ivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani hili ni jibu sahihi zaidi mkuu.Asilimia kubwa hatupokei namba ngeni kwasababu binafsi nimehitimisha ivo
Izo sababu binafsi ndo wamesema ni uoga,kutojiamini,utapeli,madeni,Michepuko,wizi,uharifu.Asilimia kubwa hatupokei namba ngeni kwasababu binafsi nimehitimisha ivo
Siku hazifanani.Kuna siku hautokuwa na Salio.Sasa sijui utapigaje hiyo simu.kwakweli namba mpya sinaga haraka nazo hata ukipiga simu naiona nitaiacha iite then baada ya dakika kadhaa au masaa nakupigia.
Kabisaa... Maana Dunia ina mengii mambo.Ni vizuri ukiwa na muda upokee simu zote,hata namba ngeni.mambo ni mengi dunia hiii
[emoji119]Ni kwel cjakataa nimekubali ,ni pale mtu anapopiga cmu mara nyingi unakuta Hana option nyingine ya Kutuma sms labda ana dakika tu,sawa bac kutopokea ni woga au ni ukosefu wa akili na kujiona wa maana au kuwa na princeple za kijinga HKBW
Exactly, pia inaonesha watu wengi ambao hawapokei namba ngeni shauku yao ni kutaka kujua nani aliyepiga pamoja na nia/shida yake, ndyo maana wengi wamesema baada ya dkk au masaa kadhaa wanajaribu Ku-callback , ingawa namba kubwa ya sisi sote imethibitika hukerwa na upigaji wa simu mfululizo mfn missed call zaid ya 5 zinazofuatana.Asilimia kubwa hatupokei namba ngeni kwasababu binafsi nimehitimisha ivo
Hupungukiwi kitu kiukweli lakini Mimi huwa sipendagi tu kuzipokea.Zinaboa Nini wakati wewe ndiye mwenye maamuzi na simu Yako
Ivi ukipokea ukamskiliza ni nani au anasemaje unapungukiwa Nini,
Wewe huyajui haya ngoja niscreenshot call log yangu ya leo. Na leo ni PUBLIC HOLIDAY. Na hapa ndio kwanza saa 11 jioni.Namba 30 Kwa siku.Kwamba namba Yako umeisambaza kwenye mitandaoni??
Huna biznes unasambaza namba kwenye mitandao ya kijamii au kwenye kuta za Nyumba lazima uisome some.Hapo utahisi ni usumbufu Kumbe uliyataka mwenyewe.
Tena nikiona msumbufu wa hivi huwa nakata kabisa ili ajue kuwa namuona,wanakera sana.Hivi kama unampigia mtu simu hapokei si unaachana nae. Hawa ndio wale wasumbufu atapiga simu hata mara 20 na ukipokea utaskia nilikua nakusalimia.
Wanakera sana basi tu.Tena nikiona msumbufu wa hivi huwa nakata kabisa ili ajue kuwa namuona,wanakera sana.
Hata kama nina namba yake kuna muda mtu uko busy,umechoka, n.k sasa siyo lazima nipokee simu kama mtu anaona ni muhimu kwanini asiandike msg.
Safi sana.Wengi hatujui matumiz ya sms,jitambulishe kwanza Kwa sms baada ya kupiga cmu Ili mtu aweze kujua ww n nan,
Unakuta mtu anapiga cmu hachoki tu ,ikikata anapiga Tena ,ikikata anapiga Tena, mwishowe inakuwa usumbufu.
Wasiwasi ndo akili yenyewe mkuu....Uogaa wa kutojiamini tu