Unamshauri nini kijana asiye na ajira ambaye yupo tu mtaani?

Hongera boss 👏👏👏
 
eb naomba elimu kdg kuhus kutngneza account ya IG ambay itanlipa
 
matatizo km yapi mkuu
 
eb naomba elimu kdg kuhus kutngneza account ya IG ambay itanlipa
Kaka mimi huko sio angle zangu na ni ngumu kukushauri kama hauna kitu unachokifanya 😁😁😁

Lakini knowledge general ya social media

Instagram wengi ni watu wa mijini, city life, kuvaa kupendeza. Kwa hiyo kama unataka kuanzisha page ya biashara bhasi cheza na vitu kama hivyo

Zile nguo, accessories, bags, mikufu, saa

Ubaya wa insta kuikuza bila kuifanyia paid ads yani matangazo ya kulipia ni mtihani

Ila kama ni Facebook, deal na magroup. Marafiki zangu baadhi walinambia, kutumia Facebook groups zile unakuta za kuuza na kununua, una uhakika wa kupata wateja kuliko insta

Cha msingi tu lugha iwe nzuri,

onesha bei, mambo ya bei inbox huwa yanawakata wengi,

picha ziwe halisi maana mapicha ya kudownload online hayaaminiki watu watakuona mzushi

Na kadhalika
 
shukran sana mkuu kwa elimu
 
Master mtiti wake ulikuwa sio wa kitoto ni kukomaa na kuswallow your pride.
😁😁 master ukaiweka bachelor pembeni , safi sana maana kibongobongo tunaelewa ajira tu, vingine hamna kitu zaidi ya watu kukuona unaunga unga
 
Asiuze Laptop kwani anayo hiyo laptop
 
Akisha OA akili itamkaa tu atajua cha kumlisha, umjini umetuharibia vijana kijijini ukimaliza shule tu unaozeshwa unapewa na kaplot na tumbuzi tung'ombe maisha yanaanzia hapo
Kumbe unaozeshwa, unaoewa na vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…