Unamuogopa mwanamke au mwanaume wa aina gani kwenye mahusiano?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbavuu zanguu sis pullliiizzzzzzzzzzzzzzz [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!
 

Hata sisi tunakutana na vituko kwenye outing basi tu tunaamuaga kula kimya.
 
Namwogopa mwanaume ambaye nampa nafasi anikule afu yeye ananisubirisha....nahisigi Kuna walakini na mkuyenge wake....🙄
Hapo ujue pia wapo wanaume wenye uchaguzi wao...ndio maana kuna mahali hatskiwi lkn anang'ang'ania...kuna mahali anaitwa akapige mzigo anasuasua ujue hajavutiwa labda
 
Hatujaelewa
Sophy;
Mwanaume anapokuja kwako kuna kitu anatafuta na hicho akikipata na moyo wake ukafurahi pesa si kitu atakupa utakacho sawa na uwezo wake.

Vitu hivyo vyaweza kuwa;

Furaha ya moyo kwa jinsi utakavyo muhandle,
mvuto wako wa nje akitegemea na ndani ndivyo ulivyo,
hekima na busara zako,
ushauri mzuri nk ..hapa ukiweza kuuteka moyo wake umevipata na vyake vyote.
 
Mimi haya sitaki hata kuyasikia sahiz😂😂najionea maluelue tu wanaume hamuelewekag mnatak nn
 
Mimi haya sitaki hata kuyasikia sahiz😂😂najionea maluelue tu wanaume hamuelewekag mnatak nn
Mnakosea sana.
Wanaume hatufanani mahitaji acheni kudanganyana huko kwa makungwi uchwara.
Kila mtu ana kitu/ vitu anavyovitamani kwa mwanamke.

Mimi nikikutana na mwqnamke aliyekomaa akili na ana akili njema yaani hekima flani...tayati mvuto unaanzia hapo.
Yapo mengine madogo madogo lkn kwangu namba moja ni kichwani...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbavuu zanguu sis pullliiizzzzzzzzzzzzzzz [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!
Ccy wanaume wa siku hizi matatizo sana
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimecheka karibu nipaliwe na mate.

Kweli ulipatikana
Alijipata yeye me nilivoona kumbe Hili chizi eeeh nkasema nlikomeshe kwanza......
 
Kungwi gani Sasa na wew unaanza kunisema Tena nimesema nachokifahamu na sijasema wanaume wote wabaya wema wapo na wna hekima ila ni wachache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…