Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

Kuanza namimi nini?
[emoji116]
JamiiForums1880345588.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu hupenda kuona wengne wakiteseka katika mahusiano ,,atakupenda lakini bila kukuumiza kwa namna yeyote hajisikii raha kabisa na anajiona Yuko sahihi

Ukisema mapenz utumwa Ni kukosa msimamo na kukosa kwa kwenda usikubali kuteseka kwa sababu unahisi unapewa vitu vizuri au upo sehemu ya maisha mazuri

Sema na moyo wako na tambua hisia zako kuwa Ni wewe na utabaki kuwa wew Hakuna mwingne Zaid yako na hatotokea Kama wewe

Jenga kuwa mtu wa misimamo na usikubali kuyumbishwa kwa namna yeyote ile

Napenda kumpaga mtu nafas aseme neno "tuachene" akishindwa bas namwambia sitaki usumbufu ukiona huwez unaweza kwenda.mara nying wanasepa wenyewe na mwisho wa siku na move on bila shida na sikumbuki kitu juu Yake
 
Who can say where the road goes?
Where the day flows? Only time
And who can say if your love grows
As your heart chose? Only time
Who can say why your heart sighs
As your love flies? Only time
And who can say why your heart cries
When your love lies? Only time
 
Nipo kwenye hii situation kwa Sasa kwa kweli inahitaj nguv ya ziada kumpotezea mtu unaempenda kwa dhati nimeshajaribu kumpotezea Mara mbili nashindwa narud Tena nyuma Hadi najihis mpumbavu namb zake zpo kichwan nammiss lkn yey han mda na mim inaumiza
 
Pole sana mkuu ,mapito ayo
 
Nipo kwenye hii situation kwa Sasa kwa kweli inahitaj nguv ya ziada kumpotezea mtu unaempenda kwa dhati nimeshajaribu kumpotezea Mara mbili nashindwa narud Tena nyuma Hadi najihis mpumbavu namb zake zpo kichwan nammiss lkn yey han mda na mim inaumiza
Ni ngumu sana kumsahau unayempenda kaka, lakin huoni kama unapoteza wakati na kuziba nafasi za kupata kilichobora zaidi mkuu.

Piga chini bwana, futa picha zake clear chats zake utasahau mdogo mdogo mbele ya safari.

Mwanamme lazma uwe na plan b ni mbaya sana kuona mwanamme mwnzangu anataseka kisa mwanamke
 
Angalau napat matumain kaka nlivoona quote yko acha nkaze moyo kinachoumiza Zaid n mtu niliempambania San mawacliano yamekuw nakiforce mno unapgacm Mara7 ya 8 ndo anapokea cku zngine anapotzea kbs natamn at nckie ananiambia niachane nae lkn hasemi najipa matumain kumbe ananichora tu
 
Hivi bado mnapendaga eh! Poleni wandugu😂😂kwa wanawake it make sense kupenda ila kwa kwa mwanaume jitahid kujiepusha kupenda utakuja kufa bure! Mimi huwa namu approach msichana na naweza ingia gharama ila lengo ni kumnyandua tu! Baada ya hapo sina cha kupoteza na ni maamuzi yake either tuendelee kunyanduana au tusiendelee hiyo ni juu yake!! Wanawake hii najua siwezi eleweka ila kwa ma braza kuna baadhi wanaweza nielewa!
 
Nipo kwenye hii situation kwa Sasa kwa kweli inahitaj nguv ya ziada kumpotezea mtu unaempenda kwa dhati nimeshajaribu kumpotezea Mara mbili nashindwa narud Tena nyuma Hadi najihis mpumbavu namb zake zpo kichwan nammiss lkn yey han mda na mim inaumiza
Jaribu kupitia mada hii unaweza pata mwongozo..
 
Back
Top Bottom