princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
inaanza na wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inaanza na wewe
Well saidIli ufikie hiyo stage ni lazima uwe umepitia heart breaks kadhaa.
Pole sana mkuu ,mapito ayoNipo kwenye hii situation kwa Sasa kwa kweli inahitaj nguv ya ziada kumpotezea mtu unaempenda kwa dhati nimeshajaribu kumpotezea Mara mbili nashindwa narud Tena nyuma Hadi najihis mpumbavu namb zake zpo kichwan nammiss lkn yey han mda na mim inaumiza
Ni ngumu sana kumsahau unayempenda kaka, lakin huoni kama unapoteza wakati na kuziba nafasi za kupata kilichobora zaidi mkuu.Nipo kwenye hii situation kwa Sasa kwa kweli inahitaj nguv ya ziada kumpotezea mtu unaempenda kwa dhati nimeshajaribu kumpotezea Mara mbili nashindwa narud Tena nyuma Hadi najihis mpumbavu namb zake zpo kichwan nammiss lkn yey han mda na mim inaumiza
Angalau napat matumain kaka nlivoona quote yko acha nkaze moyo kinachoumiza Zaid n mtu niliempambania San mawacliano yamekuw nakiforce mno unapgacm Mara7 ya 8 ndo anapokea cku zngine anapotzea kbs natamn at nckie ananiambia niachane nae lkn hasemi najipa matumain kumbe ananichora tuNi ngumu sana kumsahau unayempenda kaka, lakin huoni kama unapoteza wakati na kuziba nafasi za kupata kilichobora zaidi mkuu.
Piga chini bwana, futa picha zake clear chats zake utasahau mdogo mdogo mbele ya safari.
Mwanamme lazma uwe na plan b ni mbaya sana kuona mwanamme mwnzangu anataseka kisa mwanamke
nakubaliWala hayanitesi mzee mimi nafikisha tu ujumbe si unajua kocha hachezi
Jaribu kupitia mada hii unaweza pata mwongozo..Nipo kwenye hii situation kwa Sasa kwa kweli inahitaj nguv ya ziada kumpotezea mtu unaempenda kwa dhati nimeshajaribu kumpotezea Mara mbili nashindwa narud Tena nyuma Hadi najihis mpumbavu namb zake zpo kichwan nammiss lkn yey han mda na mim inaumiza