Kama shule IPO.Wasomi ni wengi kazi kuliko nafasi za kazi zilizopo.
🤣🤣🤣🤣 Basi jamani inatosha.Kama shule IPO.
Tackle lipo
Sura ni yenyewe kabisa
Shape kama imechongwa .......In short ni Pisi Kali, hauna haja ya kutafuta kazi.....Tutakutafutia pesa na ww utachagunia ule pesa ya nani?
Wape vidonge vyao👌👌👌👌Na Mimi nawaongezea;Wanaume wanataka wanawake wachakarikaji Babu wee👌👌👌Anajua akitoa pesa ya umeme,mwanamke atatoa ya maji.Mambo kusaidiana ndo yanakuwa 🔥🔥🔥🔥🔥.Hata wakati wa kuchakata mbususu,mwanaume anakuwa na utulivu,goli 3 Ni kawaida.Kwema Wakuu!
Siku hizi kila mwanamke anakuambia tafuta pesa, kama huna pesa hunipati, basi unakatazama kademu kenyewe unabaki kusema Shiiiii! Kimoyo moyo.
Badala kademu kamshukuru Mungu tusio na pesa tupo wengi ndio maana nako kanapata nafasi ya kuonekana koo! Kanajikuta ati kanakubaragaza kuwa huna pesa, sijui tafuta pesa.
Hivi Kwa akili ya kawaida mtu akiwa na pesa atamtongoza mwanamke asiye na mbele wala nyuma?
Hata akimfuata anafikiri atampa hizo hela Kwa jinsi alivyo.
Mwanamke hana Traako wala Double kibini,
Mwanamke huna Sura yenye ushirikiano
Mwanamke shule ulikimbia madarasa yako hayatoshi,
Mwanamke umetoka familia Masikini
Bado uwaambie wanaume watafute pesa, unaumwa wewe!
Hilo ni kujiombea mabaya, elewa wanaume wakiwa na pesa wengi wao wewe hakuna atakayekutaka,
Na kama watakutaka ni Kwa ajili ya matumizi ya dharura Kama vile Tajiri Kula Dagaa Kauzu Kwa hamu tuu au Kwa masharti ya mganga.
Wanaume wengi wanatafuta pesa Kwa ajili ya kuopoa pisi Kali za Moto ambazo huenda hata nchini Tanzania zipo chache,
Wengi tupenda watoto shombeshombe wenye miili laini yenye walau nyama nyama.
Vitoto Rangi mtelezo au vyeupeupe na Kam weusi basi uwe mtelezo.
Hiyo ndio ndoto za wanaume wakiwa wanahangaika kutafuta pesa.
Usije ukadhani wanatafuta pesa Kwa ajili yako ambaye hueleweki.
Huwaga nawashauri Dada zangu hasa Wale wenye Sura ngumu na wasio na Hifadhi ya kutosha ya taifa, wazidi kuwaombea wanaume Hali ngumu kadiri wapatavyo nafasi.
Ombea wanaume wasipate pesa
Ombe wanaume michongo Yao isitiki,
Ombea wanaume wazidi kuteseka ili heshima na thamani yenu iendelee kuwapo.
Fanya kazi upate hela ili nawe upate Mwanaume umtakaye,
Sura huna
Elimu huna
Pesa huna
KAZI huna
Msambwanda wa kuzugia huna,
Bado utake pesa, unaumwa wewe!
Hata wanaume wapate pesa hutapata hizo pesa kama haupo kwenye viwango, elewa kuwa Duniani kuna Fungu la kukosa.
Hata Kwa wale Malaya wanaojiuza bado wapo wenye kulipwa pesa nyingi Kwa mchezo, na wapo wakulipwa mpaka elfu mbili Kwa mchezo.
Msije sema Taikon anadharau Bali najaribu kuelezea hali halisi iliyoko mtaani.
Ninyi endeleeni kuwahamasisha wanaume Watafute hela Ila juweni kuwa mnajichimbia kaburi Lenu la halaiki.
Muhimu, tuwasaidie binti zetu kupata elimu na kuwafundisha namna ya kupata pesa maana Huko tuendako wanawake wengi watakuwa kwenye Mateso makali,
Mwanamke kama hana pesa nyakati zijazo atateseka Sana..
Taikon amemaliza.
Leo nimecheka sana......
Kama vile tajiri kula dagaa kwa hamu au masharti ya mganga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema Nini taikon nikuulize swali hili,
Je,ni kwanini ukienda sehemu kuaproach demu,ukakuta wapo kikundi wawili au watatu Yule mbaya ndiye wa Kwanza kukukataa?
Kuna weekend moja, nikatimba club moja matata kupiga vyombo,baada ya vyombo kukolea nikatamani pisi
Basi wakati natoka toilet Kuna meza niliona Ina pisi nne zimetulia zimeagiza bia hizi local,nikataka kujumuika nao
Lakini Cha ajabu pisi moja iliinuka na kuniwakia, eti umekuja na sisi, Kwanza hatutaki wanaume,na shombo zingine kibao,
Huku wenzie wakimlaumu aache nikaondoka
Ajabu Yule demu ni mbovu kuliko wote, huwezi hata kutambulisha washikaji,
Ukienda chimbo lolote la mademu Basi pisi mbovu ndiyo yenye maringo hata kupatana wanataka hela nyingi kuliko wale wakali kwanini.
Kanisani kwangu nakosali Kuna manzi amenichukia bila sababu , nikasema labda ni wivu kwa wife ngoja nikatongoze ,
Japo kapewa Cha kukalia tu na siyo kumkaribisha mwingine,Cha ajabu pisi ilikubali Ila kwa masharti.
Eti Kodi ya anakokaa na gharama kibao nilipe Mimi wakati body appearance yake... MUNGU nisamehe tu.
Wanaringia Nini Hawa ?
Wakati Kuna pisi hazina mambo mengi ni Kali,Kali, Kali, Kali, Kali balaaa
KawaidaEndelea kujidanganya mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante umenifundisha kitu...mimi huwa nahisi wanaringa kumbe ni kutojiamini...unakuta mwanamke anaonekana ana maisha magumu balaa akikupita ananuka ile shombo ya chupi chafu..halafu unamuita anazingua huwa nabaki nashangaa tu🤔🤔😀😀😀
Hawaringi ni kwamba hawajiamini!
Kuna kuringa na kutokujiamini watu wanashindwa kutofautisha.
Sura huna
Elimu huna
Pesa huna
KAZI huna
Msambwanda wa kuzugia huna,
Bado utake pesa, unaumwa wewe!
duu hatari utainvest kwelikanuni ni hii
" MWANAUME TAFUTA PESA, UKIZIPATA TUMIA NA WANAWAKE"
Huna fedha, pambana na hali yako bro!
ukiwa nazo hakikisha una miliki wanamke wa kutosha.
Njoo hapa mwenge mamdogo tupige vyupa viwili vitatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamuke ni pesa, mwanamuke matunzo.
Pesa inaleta tacko.
Pesa inaleta rangi ya chungwa.
Money is everything.
Nimedanga hapa mjini nimemaliza wanaume wote pesa, sasa hivi ninafanya kuwarudia tu.
Pesa ninayo, nimezaliwa mzuri, nimezaa watoto wazuri na vibosile.
Ila umalaya siachi wananitaka wenyewe kuanzia watoto mpaka granny zao.
[emoji50][emoji50]Mwanamuke ni pesa, mwanamuke matunzo.
Pesa inaleta tacko.
Pesa inaleta rangi ya chungwa.
Money is everything.
Nimedanga hapa mjini nimemaliza wanaume wote pesa, sasa hivi ninafanya kuwarudia tu.
Pesa ninayo, nimezaliwa mzuri, nimezaa watoto wazuri na vibosile.
Ila umalaya siachi wananitaka wenyewe kuanzia watoto mpaka granny zao.
Utaishia hivyo hivyo[emoji1476]Umeongea madini Sana mkuu.Huo ndo ukweli halisi na Mimi siku nikiimarika kiuchumi nitapiga chini mademu wote nilionao Sasa hivi na kuanza kutafuta pisi za viwango vya pro max ( nimeassume mademu nilionao saizi sio piss kali kivile[emoji23])
Nimekupenda bure[emoji7]Mwanamuke ni pesa, mwanamuke matunzo.
Pesa inaleta tacko.
Pesa inaleta rangi ya chungwa.
Money is everything.
Nimedanga hapa mjini nimemaliza wanaume wote pesa, sasa hivi ninafanya kuwarudia tu.
Pesa ninayo, nimezaliwa mzuri, nimezaa watoto wazuri na vibosile.
Ila umalaya siachi wananitaka wenyewe kuanzia watoto mpaka granny zao.