Huwa tunaamua kufanya hivyo Ila siyo bavicha kutupangia cha kufanya[emoji23][emoji23]mbona akila mahindi barabarani huwa mnatuonyesha, akinywa kahawa migahawani mnatuonyesha, akiota jua kwenye mawe mnatuonyesha? kuna shida gani mkatuonyesha na anavyopiga kazi sasa
tutapiga kelele hadi mtamtoa mlikomficha kama mlivyofanya kwa mpangoHuwa tunaamua kufanya hivyo Ila siyo bavicha kutupangia cha kufanya[emoji23][emoji23]
Mleta mada uwezo wako wa kufikiri upo chini sana, kikubwa kinachoendelea kwa sasa siyo kutambua au kutotambua cheo,kikubwa ni kwamba watu hao wanafurahia majanga kumpata bwana mkubwa. Fikiria kwa upana.
Hahaha acha kubeti kwenye siasa....bakia huko huko kwenye bongo muvi!Mimi kinachoniogopesha ni kwamba mpango wa kuamia Dodoma hautafanikiwa,utaishia katikati uku mabilioni ya fedha yakiwa yameshatumika.
KWani alikuwa amelala wapi...NAirobi, India, Mloganzila..Bado unaamini maneno ya kigogo hadi sasa hivi...ubongo wako ni zawadi kubwa kutoka kwa muumba, acha kuwapa akina Lissu wakushikie hicho kiungo, dunia ni ndogo hii!Kwani ameamuka?
Hata mi namshauri akae tu mortuary huku nje hataweza kuwaridhisha.Aisee
Hakuna Mtihani mgumu kama kuridhisha Watu...Hata mitume walishindwa
Raisi MAGUFULI usitoke nje kutaka kuwaridhisha maana hautaweza
Sana karibu watawafikia uduanzi uviccm.Bavicha viazi sana hawa
Hujajibu swali.Ile picha ya ukutani haitoshi!
Kwani na wewe ni nani?Sasa wewe ni nani? ...
Watu wote waliobambikiwa kesi, kufungiwa biashara, Account, kuporwa kura kwenye chaguzi mbalimbali wana jambo lao moyoniHivi JPM nani anampenda zaidi yako na akina polepole. Huku mtaani watu wameshajiandaa kunywa bia wakisikia amekata Moto.
Miaka 5 bila nyongeza za mishahara siyo kitu kidogoMaisha yamekuwa magumu sana,,, Raia tumeanza kuchukiana wenyewe...
Ila mkuu jipe muda,,,, Ukweli huwa unajitenga na Uongo...
Japo tulipofika ni pabaya
Swali gani!Hujajibu swali.
Sijui lakini hatukuchagua viongozi wa kukaa kabatini.Katiba inasema asipooneka kwa muda gani unatakiwa kuhoji?
Mleta mada namba zake ni 0715132277 na 0787132277 seleman mpigieni mpeni vipande vyake liveMleta uzi umesahau kuweka namba yako ya simu huenda ukapewa viti maallumu.
Viazi na wale waficha Ugonjwa wa mtukufuBavicha viazi sana hawa
Ulumchagua?You are too stupid to understsnd , Rais wa nchi asipoonekana in public, hiyo ina create anxiety.
Kwa followup ya argument yako, kwani tulimchagua ali mumfiche ikulu?