Achaaa urongoooo weweeeSalamu kwenu
Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.
Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.
Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.
Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.
Kweli mtumishiSalamu kwenu
Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.
Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.
Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.
Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.
Wewe ndio kafiri na ukoo wako
Kwahiyo unakubali kwamba unaingilia maamuzi na makubaliano ya watu? ndani ya taifa huru?Kisa huujui ugali kama ni chakula inafanya ugali usiwe chakula? Kufunga ni utaratibu wa maisha, na kiasili binadamu wengi tu hufunga kila siku, shida ni pale ratiba ya kufunga inapopinduliwa miguu juu nankichwa chini tena kwa mbwembwe, hiyo ni mbaya sana kiafya, maana usiku mtu hupaswi kula sana maana unaenda kulala. Tujali afya zetu.
Mbona kafiri unajikataa? Na jina la kikafiri wamekupa Francis.....au hujui wakina Francis mapadre machoko walioishi na wengine mmewaita watakatifu.
Hapana, natoa tu maoni, kwamba tusipindue kitendo cha kiasili ambacho binadamu wote kwa asilimia kubwa hufanya kila siku usiku, badala yake baadhi yetu wanakifanya mchana (ramadhan), maana ni mbaya kiafya, usiku mtu hupaswi kuvimbiwa, maana unaenda kulala, hivyo huitaji chakula kingi..; tujali afya zetu.Kwahiyo unakubali kwamba unaingilia maamuzi na makubaliano ya watu? ndani ya taifa huru?
Baby Frans tulia basi. Hutaki jina la kafiri?Si ndio uchoko umejaa huo ukoo wenu, hakuna msaada wa kukupa zaidi ya kunyooshwa rinda tu 😊
Unaamini uwepo wa Mungu?Hapana, natoa tu maoni, kwamba tusipindue kitendo cha kiasili ambacho binadamu wote kwa asilimia kubwa hufanya kila siku usiku, badala yake baadhi yetu wanakifanya mchana (ramadhan), maana ni mbaya kiafya, usiku mtu hupaswi kuvimbiwa, maana unaenda kulala, hivyo huitaji chakula kingi..; tujali afya zetu.
Mungu wangu anaweza asiwe wako, ila yes, naamini. Either way, nasisitiza tujali afya zetu.Unaamini uwepo wa mungu?
we kondoo ulopoteaWanaugeuza. Usiku kua mchana maana asubuhi yao ndio jioni na wanakula usiku kucha
Kubadilisha ratiba ya kulawatumie neno gani
Kama hatakula kwa maana ya ili asubuhi ili anywe chai na kama atafanya hivyo kama ibada sahihi basi hatakuwa amefunga (huu ni mtazamo wangu) na chai ndio futari yake.Okay, unadhani kitendo cha wengine kutokula wala kunywa usiku hadi inapofika asubuhi ndio wanakunywa chai, na kitendo cha wengine kutokula asubuhi hadi inapofika usiku ndio wanakula futari, kinatofauti gani kimsingi?
Okay, nashauri tuendelee kufunga usiku badala ya mchana kama ilivyo asili ya mwanadamu, kuvimbiwa usiku ni mbaya kiafya maana unaenda kulala...Kama hatakula kwa maana ya ili asubuhi ili anywe chai na kama atafanya hivyo kama ibada sahihi basi hatakuwa amefunga (huu ni mtazamo wangu) na chai ndio futari yake.
Hapa naomba nikupe elimu futari neno lililotoolewa ikiwa na maana ya kifungua kinywa hapo sasa wewe kifungua kinywa chako ni chai ambayo kwa lugha nyingine kama utataka ni futari.
Najua kuna kitu kinakusumbua.
Kwani nani kakwambia watu wanavimbiwa?Okay, nashauri tuendelee kufunga usiku badala ya mchana kama ilivyo asili ya mwanadamu, kuvimbiwa usiku ni mbaya kiafya maana unaenda kulala...
Kama unaamini kuna mungu means tayari hautumii consciousness reasoning bali unatumia imani.Mungu wangu anaweza asiwe wako, ila yes, naamini. Either way, nasisitiza tujali afya zetu.
Muhammad alikuwa anaiga kufungawe kondoo ulopotea
mbona sisi hatuwasemi na kwaresma yenu?
Najua fika 99% ya kondoo hamfungi iyo kwaresma ndo mna ikija Ramadhani hamuishi kuudhihaki
Kondoo umepoteaaaaa rudi zizini ukachungwe vizuri