Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Salamu kwenu

Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.

Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.

Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.

Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.
Achaaa urongoooo weweee
 
Kweli mtumishi
 
Kisa huujui ugali kama ni chakula inafanya ugali usiwe chakula? Kufunga ni utaratibu wa maisha, na kiasili binadamu wengi tu hufunga kila siku, shida ni pale ratiba ya kufunga inapopinduliwa miguu juu nankichwa chini tena kwa mbwembwe, hiyo ni mbaya sana kiafya, maana usiku mtu hupaswi kula sana maana unaenda kulala. Tujali afya zetu.
Kwahiyo unakubali kwamba unaingilia maamuzi na makubaliano ya watu? ndani ya taifa huru?
 
Si ndio uchoko umejaa huo ukoo wenu, hakuna msaada wa kukupa zaidi ya kunyooshwa rinda tu 😊
Mbona kafiri unajikataa? Na jina la kikafiri wamekupa Francis.....au hujui wakina Francis mapadre machoko walioishi na wengine mmewaita watakatifu.
 
Kwahiyo unakubali kwamba unaingilia maamuzi na makubaliano ya watu? ndani ya taifa huru?
Hapana, natoa tu maoni, kwamba tusipindue kitendo cha kiasili ambacho binadamu wote kwa asilimia kubwa hufanya kila siku usiku, badala yake baadhi yetu wanakifanya mchana (ramadhan), maana ni mbaya kiafya, usiku mtu hupaswi kuvimbiwa, maana unaenda kulala, hivyo huitaji chakula kingi..; tujali afya zetu.
 
Unaamini uwepo wa Mungu?
 
40 days bila kula ulikuwa mpango wa Shetani kwa Yesu.Na Shetani alimpeleka Yesu katika mambo yake mbalimbali.
Kama ulikuwa mpango wa Mungu Yesu afunge 40 days bila kula basi ilipaswa ufungaji huo uendelee miaka yake yote,lakini alifanya hivyo mara moja katika maisha yake yote.
 
Wanaugeuza. Usiku kua mchana maana asubuhi yao ndio jioni na wanakula usiku kucha
 
Wanaugeuza. Usiku kua mchana maana asubuhi yao ndio jioni na wanakula usiku kucha
we kondoo ulopotea
mbona sisi hatuwasemi na kwaresma yenu?
Najua fika 99% ya kondoo hamfungi iyo kwaresma ndo mna ikija Ramadhani hamuishi kuudhihaki

Kondoo umepoteaaaaa rudi zizini ukachungwe vizuri
 
Okay, unadhani kitendo cha wengine kutokula wala kunywa usiku hadi inapofika asubuhi ndio wanakunywa chai, na kitendo cha wengine kutokula asubuhi hadi inapofika usiku ndio wanakula futari, kinatofauti gani kimsingi?
Kama hatakula kwa maana ya ili asubuhi ili anywe chai na kama atafanya hivyo kama ibada sahihi basi hatakuwa amefunga (huu ni mtazamo wangu) na chai ndio futari yake.
Hapa naomba nikupe elimu futari neno lililotoolewa ikiwa na maana ya kifungua kinywa hapo sasa wewe kifungua kinywa chako ni chai ambayo kwa lugha nyingine kama utataka ni futari.
Najua kuna kitu kinakusumbua.
 
Okay, nashauri tuendelee kufunga usiku badala ya mchana kama ilivyo asili ya mwanadamu, kuvimbiwa usiku ni mbaya kiafya maana unaenda kulala...
 
Okay, nashauri tuendelee kufunga usiku badala ya mchana kama ilivyo asili ya mwanadamu, kuvimbiwa usiku ni mbaya kiafya maana unaenda kulala...
Kwani nani kakwambia watu wanavimbiwa?
unajua mafundisho ya Uislamu au umekazia iyo point yko tuu?

Kwaresma mnafunga mchana au usiku?
 
Mungu wangu anaweza asiwe wako, ila yes, naamini. Either way, nasisitiza tujali afya zetu.
Kama unaamini kuna mungu means tayari hautumii consciousness reasoning bali unatumia imani.
Hivyo haimake any sense kumwambia mtu anayefanya kitu kwa msumkumo wa imani kwamba anaharibu afya ukizingatia hii kitu imekuwa inafanyika kwa mamia ya miaka na hakuna any visible or tangible negative effects.

Kuamini uwepo wa mungu ni vibaya kwa afya ya akili sababu imani inakutia uvivu wa akili na kimwili kutatua changamoto zako mwenyewe na kuwa dependent kwenye kitu ambacho huna uhakika kama kipo au hakipo hivyo kuleta umasikini plus kutoa sadaka even kama unapata kidogo.
Nasisitiza tujali hali zetu za kimaisha hence afya zetu na mostly important hicho kitu ni hatari kwa uchumi wa taifa.
 
we kondoo ulopotea
mbona sisi hatuwasemi na kwaresma yenu?
Najua fika 99% ya kondoo hamfungi iyo kwaresma ndo mna ikija Ramadhani hamuishi kuudhihaki

Kondoo umepoteaaaaa rudi zizini ukachungwe vizuri
Muhammad alikuwa anaiga kufunga

Hapa tunamuona kuwakuta wayahudi wanafunga , akawa hajui chochote kuhusu kufunga, akawauliza kwa nini wanafunga siku hiyo, wakamjibu tunafunga maana ndio siku wana wa israel waliokolewa kutoka kwa adui yao na Musa alifunga siku hii, Muhammad akawaambia sisi waislamu ndio tupo karibu na Musa kuliko nyie (😂) basi tutafunga na sisi leo akaanza kufunga siku hiyo hiyo na akawaamuru waislamu wafunge, na akawanyang'anya wayahudi Musa akamfanya ni wakwao na ni muislamu
Muhammad came to Medina and saw the Jews fasting on the day of Ashura. He asked them about that. They replied, "This is a good day, the day on which God rescued Bani Israel from their enemy. So, Moses fasted this day." Muhammad said, "We have more claim over Moses than you." So, Muhammad fasted on that day and ordered (the Muslims) to fast (on that day).Sahih al-Bukhari 2004
 
Back
Top Bottom