Tajiri mwenye ahadi nyingi Elon Musk wakati wa uzinduzi wa Tesla Robotaxi alionyesha pia
humanoids robots zake zinazoitwa
Optimus.
View attachment 3122695
Kutoka na presentation yake aliahidi kwamba Optimus inaweza kufanya chochote unachotaka. Akazidisha akasema “
Optimus ni biggest product ever katika human kind” na inaweza ikawa mwalimu, akawa mlezi wa wanao, akakutengenezea bustani, ukamtuma dukani, mkacheza nae music, akawa anafanya kazi bar kama muhudumu nk.
View attachment 3122696
Na ata baada ya event yake ya We Robot wakati wa after party, Optimus walisave drinks kwa waudhuriaji.
View attachment 3122698
Kuhusu bei itauzwa $30,000 tu!
Sijui tumejiandaaje kuanza kucompete ajira na aga maroboti.