Unatafuta msaidizi wa nyumbani? Kwa Million 100 jipatie Optimus Robot kutoka kwa Elon Musk

Huyu Ellon M anatuonaje ??? Pumbavu zakeee
 
Sipati picha nadhani nikipindi ambacho magonjwa ya moyo na vifo vya gafra vitakua hali ilio zoeleka zaidi.
Maroboti kuchimba kabli ni dakika 10 tu na kutifukia hahahaha. Kwahiyo hakutakuwa na hasara.
By the way hii dunia ni kama maana ya maisha inatoka hivi, kwasababu kila siku watu tuna poteza fraha ile ya kweli.
 
Hii mifumo inaenda kuharibu dunia, mpango ni kama kupunguza watu duniani ili wabaki wachache maana kama watu hawata kuwa na ajira ninkuwa hawana uhakika wa kula watakufa na njaa.
Je kizazi kitakacho lelewa na roboti kitakiwa na tabia gani?
Dunia ya hao watoto kwenye utu uzima wao unaweza fikiria watakuwa na ubinadamu kweli? Hii ni zaidi ya hatari
 
Nape anunue akaweke ofisi ya jimbo awe anapokea kero za wapigakura wake
 
Wayavalishe sura jamani 😂😂😂 yanatisha ukilala likapita ghafla jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…