Tumia pesa upate pesa. Hii ndo economic principal. Mama yuko sahihi. Waache kwanza pesa zipatikane watajengewa tu. Shule hazijengwi kwa hizi milion tano tano. Wacha upumbavu
AKILI MATOPE AU MAVI YA PUNDA, WHAT TYPE OF ARGUMENT IS THIS!Hao ambao hawakutapanya pesa waliyamaliza matatizo haya!?
Au shida hizi zimeanza kipindi cha Samia?
Unaweza dhani wanapenda kumbe wanatishwa na kupigwa mikwara na viongoziTatizo baba wa watoto hao ndiyo huwaambii kitu kuhusu ccm
We ndo mavi ya Nguruwe kabisa.AKILI MATOPE AU MAVI YA PUNDA, WHAT TYPE OF ARGUMENT IS THIS!
muulize mama yako kama mimi ni mavi... ulipatikana na mavi kama ni hivyo !We ndo mavi ya Nguruwe kabisa.
Kila goli laki 5 !! Hii nchi pesa ipo tatizo tuna tatizo la kupata viongozi ma mbumbumbu wasio na vision na na wasio lijua taifa wanalo liongoza
Ananunua umaarufu uchwara kwa kumnunua magoli. Sijui anatumia Pesa zipi hapo.!?Samia aache mchezo wa kuchezea pesa.
Unakaa chini halafu unaandikaje!? Aisee punguza upumbavu basi. Na zinapofanyika kampeni za kumnunua madawati, huwa yananunuliwa ya nini Wakati inajulikana wanafunzi wanaweza kukaa chini na ikawa fresh TU kwa mtazama wako!?ndo nakuuliza kukaa chini maana yake ni umasikini? msikitini si watu wanaswali wamekaa chini mbona hamsemi, kwenye mikutano ya tundu lissu siwanamsikiliza wamekaa chini nako ni umasikini? na aliyekulisha upumbavu kuwa kukaa chini ni umasikini?
Mkuu ni ujinga, yaani kutokujitambua. Ni CCM imewafanya hivi. Unajua hata mtaani watu sasa hivi wanaamini kuwa kusapoti chama cha siasa au kujihusisha na siasa ni kuwapa faida viongozi. Yaani watu hawaoni correlation kati ya maisha yao ya kila siku na uongozi wa nchi.Tatizo baba wa watoto hao ndiyo huwaambii kitu kuhusu ccm
Picha siziko mbili, mbona ume quote 1.sijui lengo lako ni nini? au ni msg gani unataka ku share, lakini kama ni madarasa yale majengo meupe si ni madarasa, sie wakati tuko shule after lunch tulikuwa tunakaa chini ya mtu tukifundishwa nyimbo na michezo mbalimbali, sasa kukaa chini haimaanishi ni umaskini, ni teaching technics tu
Majengo ya madarasa ya shule za msingi za Unguja na Pemba..
Kweli lawama kwa wazazi.Tatizo baba wa watoto hao ndiyo huwaambii kitu kuhusu ccm
Kwa hiyo kwa kuwa hao wengine hawakuyamaliza matatizo, kwa hiyo yeye ndio ayaache yaendelee!? Au !?Hao ambao hawakutapanya pesa waliyamaliza matatizo haya!?
Au shida hizi zimeanza kipindi cha Samia?
hawa ni watoto wa chekechea kitaalamu hawapaswi kufundishwa kuandika, hii ni kindergarten principle akili yake inakuwa bado changa, na madarasa yao hayapaswi kuna na madawati na wanapaswa kuwa darasani si zaidi ya masaa matatu, sasa wewe mburura unalazimisha wawe na madawati acheni kuingilia taaluma za watuUnakaa chini halafu unaandikaje!? Aisee punguza upumbavu basi. Na zinapofanyika kampeni za kumnunua madawati, huwa yananunuliwa ya nini Wakati inajulikana wanafunzi wanaweza kukaa chini na ikawa fresh TU kwa mtazama wako!?
angalia picha vizuri hawa ni watoto wa chekechea watakaaje kwenye dawati kasome mwongozo wa wizara, labda tuwagawie mikekaKwa hiyo kwa kuwa hao wengine hawakuyamaliza matatizo, kwa hiyo yeye ndio ayaache yaendelee!? Au !?
Okay, hii kama msikitini au kwenye mkutano wa Mbowe! Nimeelewa.hawa ni watoto wa chekechea kitaalamu hawapaswi kufundishwa kuandika, hii ni kindergarten principle akili yake inakuwa bado changa, na madarasa yao hayapaswi kuna na madawati na wanapaswa kuwa darasani si zaidi ya masaa matatu, sasa wewe mburura unalazimisha wawe na madawati acheni kuingilia taaluma za watu
Hizo anazotumia mama yenu anatoa wapi!? Hata bei ya sukari haijui!atoe wapi lofa mkubwa, hapo hata ukimwomba jero ya sida hana
kwani sio stahiki zake? huyu ni amiri jeshi mkuu, hatasie tulivyokuwa jeshini tulipewa hadi chupi, hizo ni stahiki zakeHizo anazotumia mama yenu anatoa wapi!? Hata bei ya sukari haijui!
Unafananisha Canada na Tz ambapo hata umeme TU shida!? Huo ujuaji uchwara huo. Watu Wana maendeleo ya zaidi miaka 200 unataka kufanana nao!? Kwa kipi hasa!?wapi wanakojali? nenda canada au australia pamoja na makodi makubwa hakuna elimu ya bure, na kuna wazungu wengi tu hawakwenda shule hawajui kusoma na kuandika