Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

Unatapanya hela na hali ya watoto wa masikini iko hivi mashuleni!

Tatizo linaanzia kwa baadhi ya wazazi wa watoto. Wengi wao CCM ipo kwenye damu. Hapo mtoto yupo shule kwenye mazingira duni wakati huo huo mzazi wake yupo kwenye mkutano wa chama kusikiriza maboresho katika elimu. Haya maboresho yenyewe ndiyo hayo sasa.
 
AKILI MATOPE AU MAVI YA PUNDA, WHAT TYPE OF ARGUMENT IS THIS!
We ndo mavi ya Nguruwe kabisa.
Yaani kwa akili yako fupi unataka wote tikubaoiane na mawazo yako tu, kwani sisi ni familia yako! Ukiona hauko tayari kutofautiana na wengine bila kashfa pita mbali
 
ndo nakuuliza kukaa chini maana yake ni umasikini? msikitini si watu wanaswali wamekaa chini mbona hamsemi, kwenye mikutano ya tundu lissu siwanamsikiliza wamekaa chini nako ni umasikini? na aliyekulisha upumbavu kuwa kukaa chini ni umasikini?
Unakaa chini halafu unaandikaje!? Aisee punguza upumbavu basi. Na zinapofanyika kampeni za kumnunua madawati, huwa yananunuliwa ya nini Wakati inajulikana wanafunzi wanaweza kukaa chini na ikawa fresh TU kwa mtazama wako!?
 
Tatizo baba wa watoto hao ndiyo huwaambii kitu kuhusu ccm
Mkuu ni ujinga, yaani kutokujitambua. Ni CCM imewafanya hivi. Unajua hata mtaani watu sasa hivi wanaamini kuwa kusapoti chama cha siasa au kujihusisha na siasa ni kuwapa faida viongozi. Yaani watu hawaoni correlation kati ya maisha yao ya kila siku na uongozi wa nchi.
 
sijui lengo lako ni nini? au ni msg gani unataka ku share, lakini kama ni madarasa yale majengo meupe si ni madarasa, sie wakati tuko shule after lunch tulikuwa tunakaa chini ya mtu tukifundishwa nyimbo na michezo mbalimbali, sasa kukaa chini haimaanishi ni umaskini, ni teaching technics tu
Picha siziko mbili, mbona ume quote 1.
 
Hao ambao hawakutapanya pesa waliyamaliza matatizo haya!?
Au shida hizi zimeanza kipindi cha Samia?
Kwa hiyo kwa kuwa hao wengine hawakuyamaliza matatizo, kwa hiyo yeye ndio ayaache yaendelee!? Au !?
 
Unakaa chini halafu unaandikaje!? Aisee punguza upumbavu basi. Na zinapofanyika kampeni za kumnunua madawati, huwa yananunuliwa ya nini Wakati inajulikana wanafunzi wanaweza kukaa chini na ikawa fresh TU kwa mtazama wako!?
hawa ni watoto wa chekechea kitaalamu hawapaswi kufundishwa kuandika, hii ni kindergarten principle akili yake inakuwa bado changa, na madarasa yao hayapaswi kuna na madawati na wanapaswa kuwa darasani si zaidi ya masaa matatu, sasa wewe mburura unalazimisha wawe na madawati acheni kuingilia taaluma za watu
 
Kwa hiyo kwa kuwa hao wengine hawakuyamaliza matatizo, kwa hiyo yeye ndio ayaache yaendelee!? Au !?
angalia picha vizuri hawa ni watoto wa chekechea watakaaje kwenye dawati kasome mwongozo wa wizara, labda tuwagawie mikeka
 
hawa ni watoto wa chekechea kitaalamu hawapaswi kufundishwa kuandika, hii ni kindergarten principle akili yake inakuwa bado changa, na madarasa yao hayapaswi kuna na madawati na wanapaswa kuwa darasani si zaidi ya masaa matatu, sasa wewe mburura unalazimisha wawe na madawati acheni kuingilia taaluma za watu
Okay, hii kama msikitini au kwenye mkutano wa Mbowe! Nimeelewa.
 
wapi wanakojali? nenda canada au australia pamoja na makodi makubwa hakuna elimu ya bure, na kuna wazungu wengi tu hawakwenda shule hawajui kusoma na kuandika
Unafananisha Canada na Tz ambapo hata umeme TU shida!? Huo ujuaji uchwara huo. Watu Wana maendeleo ya zaidi miaka 200 unataka kufanana nao!? Kwa kipi hasa!?
 
Back
Top Bottom