hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
- Thread starter
-
- #21
Wapinzani waliopo wameleta athari gani chanya kwao na kwa familia zao hadi sasa? , si kila siku wanahangaika tu sasa kwanini usitumie akili ukaingia kwenye mfumo ndio uje ubadili mambo unayoona si sawa?Umetumwa na maccm kila mmoja akisema hivo hii nchi itakuwaje si vituko tu acha kujazana uoga
Mtu mmoja ? Na wengine wanakuwa wapi, ndio wabongo tunapokwama hapo tunategeana sana kuwa vichomozo na ukipatwa nobody will stand after youJeshi la Mtu Mmoja
Kama la Daudi mtoto mchunga kondoo!!!
Hoja yangu wasiongee hadi pale watakakuwa na uhakika na survival yao , ulinzi shirikishiKwa hiyo hoja yako watu wasiongee yanayolisibu taifa🫠
Kanuni ya tatu usimuamini mtu yeyoteKanuni ya Pili: Askari bora anahakikisha usalama wake kwanza.
Kanuni ya Kwanza: Yajue mazingira.
Sijui kama hajajiekaSawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?
Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.
Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Kama Nyerere na wenzake wangekuwa na mtazamo kama wako, hakika tungekuwa bado chini ya wakoloni weupe.Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?
Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.
Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Wakenya wanakinga Gani Hadi wawezeSawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?
Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.
Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Nyerere alitumia akili , na aliji submit kwanza vinginevyo naye angepayuka asingefika mbaliKama Nyerere na wenzake wangekuwa na mtazamo kama wako, hakika tungekuwa bado chini ya wakoloni weupe.
Wana umoja kwenye upinzani wao. Yaani ukiwa mpinzani Kenya unakingiwa kifua/ulinzi na wananchi wenyewe tofauti na bongoWakenya wanakinga Gani Hadi waweze
Nafikiri itategemea na jamii, jamii za wengine wata ku defend.Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?
Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.
Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Acha kufundisha watu uoga,wewe ni jinga kabisa na wale watakao support maoni yakoSawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?
Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake [emoji848]
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.
Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Kweli mkuu ikibidi hata kujiganga ili risasi visu mapangal na simu visikizuru maana nasikia hizo sawa zipo na uwe na mtandao unaokulinda na kukupatia informationSawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?
Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.
Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Kwa kufikiria kwangu naona umepotoka. Nafikiri philosophy yangu IPO deep sana, tofauti unavyowaza.Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?
Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.
Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Kwani ukifa si unaachana na tabu za dunia au hauna uhakika wa kwenda mbinguni mzee. Wewe ogopa, lakini siasa zinawenyewe ambao wakiteswa ndo wanakuwa na nguvu zaidi.Hakuna asiyeogopa kufa especially kifo cha kutafuta mwenyewe, bahati mbaya unaweza usife ila ukapata maumivu yatakayokufanya usione thamani ya maisha, Yesu alikufa lakini hakumaliza siku tatu akafufuka tena , sasa wewe unaiga na huna uhakika wa kufufuka fews days later.
Live your life and enjoy it