Unatoa wapi ujasiri wa kufanya upinzani ikiwa huna kinga yoyote?

Umetumwa na maccm kila mmoja akisema hivo hii nchi itakuwaje si vituko tu acha kujazana uoga
Wapinzani waliopo wameleta athari gani chanya kwao na kwa familia zao hadi sasa? , si kila siku wanahangaika tu sasa kwanini usitumie akili ukaingia kwenye mfumo ndio uje ubadili mambo unayoona si sawa?
 
Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?

Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.

Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Sijui kama hajajieka
 
Kama Nyerere na wenzake wangekuwa na mtazamo kama wako, hakika tungekuwa bado chini ya wakoloni weupe.
 
Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?

Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.

Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Wakenya wanakinga Gani Hadi waweze
 
Nafikiri itategemea na jamii, jamii za wengine wata ku defend.
Ya hapa kwetu utawadefend ila mamlaka zikikuhate wanakaa pembeni as if ulikuwa huwapiganii.

Yule mbunge wa juzi ni mfano tosha
 
Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?

Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake [emoji848]
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.

Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Acha kufundisha watu uoga,wewe ni jinga kabisa na wale watakao support maoni yako
 
Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?

Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.

Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Kweli mkuu ikibidi hata kujiganga ili risasi visu mapangal na simu visikizuru maana nasikia hizo sawa zipo na uwe na mtandao unaokulinda na kukupatia information
 
Sawa una haki ya kutetea nchi yako , kuwasemea wanyonge nk.
Lakini ukweli mchungu ni kwamba utatafutwa na utazimwa , unamkaribisha adui na huna kinga yoyote?

Kwanini uchague maisha ya shida na wasiwasi hivyo ingali unafahamu athari zake 🤔
Tukio la Sativa limenifikirisha sana.

Kuna haja ya watu kujihakikishia ulinzi wa kutosha kimwili na kiroho kabla ya kuanza kuwa wapinzani.
Kwa kufikiria kwangu naona umepotoka. Nafikiri philosophy yangu IPO deep sana, tofauti unavyowaza.

Tunafanya upinzani kwa kuwa tunaona kinachofanywa sio sawa. Na hata ukipata matatizo mfano kujeruhiwa na hata kufa, spirit uliyoianzisha itaendelea kwa wengine. Tunafanya issue kwa ajili ya wengine . Kuna Gen Z Kenya wamekufa, lakin spirit is moving on bro.

Kule USA spirit ilianzishwa na kina Martin King, leo wanaishi kifalme. Tufanye kwa ajili ya wenzetu na vizazi vyetu.
 
Hakuna asiyeogopa kufa especially kifo cha kutafuta mwenyewe, bahati mbaya unaweza usife ila ukapata maumivu yatakayokufanya usione thamani ya maisha, Yesu alikufa lakini hakumaliza siku tatu akafufuka tena , sasa wewe unaiga na huna uhakika wa kufufuka fews days later.
Live your life and enjoy it
Kwani ukifa si unaachana na tabu za dunia au hauna uhakika wa kwenda mbinguni mzee. Wewe ogopa, lakini siasa zinawenyewe ambao wakiteswa ndo wanakuwa na nguvu zaidi.
 
Kwa jinsi alivyokuwa na maumivu kwenye ile clip sijui km hawajambabu seya.

Mkitaka kukosoa na kupinga serikali kwanza ipatikane katiba mpya. Hii ya kukurupuka mwisho wake ndio km hivyo..!! Na watanzania tulivyo wepesi wa kusahau, ss hivi yatapita na maisha yataendelea.
 
Back
Top Bottom