Unaweza kula chakula gani kila siku bila kukikinai?

Pole sana kiongozi. Huenda ulikula makande yaliyopikwa vibaya, ukikutana na watu wanaojua kupika kande hutazichukia.
 
Kilichonishinda kule ni kunywa damu ya ng'ombe wakati mwinginne wanaikaanga yanatokea mabongemabonge kama maini hivi.
 
Halafu hizo Dagaa ziwekwe Karanga ya kusaga na siyo nazi... Uchanganye Bamia au nyanya chungu....

Jamani jamani[emoji39][emoji39]
Umesahau kitu kimoja tu hapo guess what.........pilipili ya mwendo kasi toa mbegu zote kisha lidumbukize ndani ya bakuli nimeagiza dagaa mwanza hawana mchanga kabisa wasafi then naambiwa debe 25,000 na hapo naambiwa kwamba bei imepanda mwezi umeenda giza.
 
Kuna sehemu ukifika mavyakula wanayokula unaishia kula mikate tu πŸ˜‚πŸ€£
Ushawahi kula ndezi? Nyama yake ni tamu tatizo mtegaji Wa ndezi akiwa mvivu Wa kutembelea mitego yake anaweza waletea ndezi aliyekaa siku mbili au tatu kwenye mtego,
 
Pole sana kiongozi. Huenda ulikula makande yaliyopikwa vibaya, ukikutana na watu wanaojua kupika kande hutazichukia.
Makande ya boarding school miezi 18 with no options
Huwezi tena niaminisha kua makande ni chakula I HATE MAKANDE TO HELL

Kama mwanadamu with no options unakula hata nyasi..

✌️✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…