Ukishabikia mpira tu, tayari unakua na uelewa mdogo.Sio rahisi kumkuta mshabiki wa arsenal na Simba kua na akili wengi uelewa wao ni mdogo sanaa......
Naona Sasa nimethibitisha asilimia 100% kwamba nyie bodaboda hamna akili mwisho kusikia ajali ya ndege duniani ni lini na mwisho wa kusikia ajali ya bodaboda ni lini pima hivyo vitu ndio utaona kama wewe kichwani Kuna kopoWenye akili kubwa tu na wanaozitumia VIZURI AKILI ZAO ndio wanaweza kuishi kwa kutegemea kazi hiyo.
Kwenye kundi hilo wewe HAUMO!
NA UACHE KUDHARAU KAZI ZA WATU.
KWANI MARUBANI WA NDEGE HUWA HAWAPATWI NA AJALI?
Ana kilema cha kufikiri huyu dogo,ngoja siku shemeji yake akimfukuza dada yake aone ilivyo raha kumsaidia dada yake mabegi.Kijana jiheshimu! Shughuli yoyote halali ni kazi ili mradi mkono uende kinywani. Watu tunasomesha na tumejenga kwa shughuli hii hii ya bodaboda.
Ni kazi ila siyo ajira;kazi na ajira ni vitu viwili tofauti!Hiyo sio kazi wewe
Najua ninachokizungumza hiyo sio kazi kama unaifanya mwenyewe ukiwa unaingia rodi achana nayo utanishukuruNi kazi ila siyo ajira;kazi na ajira ni vitu viwili tofauti!
USIMPE SIFA ZISIZOMFAA,HUYU ANAISHI KWA SHEMEJI YAKE KWA HISANI YA KAZI NZURI ANAYOFANYA DADA YAKE CHUMBANI.Kaa kimya wewe mtoto wa Masaki. Hujui shida wewe. Hujui dhiki wakishua wewe..
Achana na hiyo mishe mkuu utatembelea magoti mda sio mrefuAna kilema cha kufikiri huyu dogo,ngoja siku shemeji yake akimfukuza dada yake aone ilivyo raha kumsaidia dada yake mabegi.
Hamna kitu hapoWao wanakwambia wanaingiza mpaka 30,000 kwa siku afu wewe unasema sio kazi
Kwahiyo unataka kutuambia tusipande magari kusafiri kwa sababu njiani humu huwezi kukosa kuona magari yaliyopata ajali? Au madereva wa malori na mabasi waache kazi kwa sababu kila siku kuna ajali zinatokea barabarani?Kama wewe ni mkazi wa Dar es salaam na unazunguka Dar es salaam unajua athari za kazi ya bodaboda.
Ni kazi ambayo imeacha watoto yatima kuliko kazi zingine nyingi.
Ukitoka Airport mpaka Posta lazima ukute mahali boda kaliwa kichwa.
Hata mashabiki wa mpira wanakuona kama ubongo wako umeoza au utakua jinsia KeUkishabikia mpira tu, tayari unakua na uelewa mdogo.
Mpira ni emotional game, imagine watu 22 wanafukuza mpira, ule mpira ukiingia kwenye nyavu wewe unaeangalia roho inakuuma, (are you stupid).
Mimi nikikuona mwanaume mtu mzima unashabikia mpira naona ni kama utosi wako bado unadunda.
Ajali za gari na za bodaboda wingi wake ni sawa?Kwahiyo unataka kutuambia tusipande magari kusafiri kwa sababu njiani humu huwezi kukosa kuona magari yaliyopata ajali? Au madereva wa malori na mabasi waache kazi kwa sababu kila siku kuna ajali zinatokea barabarani?
Hiyo sio kaziUnadharau sana waache watu waishi kwa urefu wa kamna zao
So long hajaiba wala kuvunja nyumba ya mtu ni kipato halali na anaijali familia yake. shukuru M-ungu una pata hela hapo unapopatia not everyone is lucky.Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu Yao kuingia barabarani kucheza na moto ambao hautozimika ukimkumba maana bodaboda ni kitendo Cha dakika 1 unaitwa kilema au maiti, hii kazi siwezi kuifanya
Kazi hii inatisha.Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu Yao kuingia barabarani kucheza na moto ambao hautozimika ukimkumba maana bodaboda ni kitendo Cha dakika 1 unaitwa kilema au maiti, hii kazi siwezi kuifanya
Hamna kitu hapoSo long hajaiba wala kuvunja nyumba ya mtu ni kipato halali na anaijali familia yake. shukuru M-ungu una pata hela hapo unapopatia not everyone is lucky.
Hamna kitu hapo endelea kujifarijiBodaboda kwa siku analaza average 40,000 ambayo akikomaa kwa mwezi mzima ni 1.2m take home.