Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 2,933
- 8,112
Ukishabikia mpira tu, tayari unakua na uelewa mdogo.Sio rahisi kumkuta mshabiki wa arsenal na Simba kua na akili wengi uelewa wao ni mdogo sanaa......
Mpira ni emotional game, imagine watu 22 wanafukuza mpira, ule mpira ukiingia kwenye nyavu wewe unaeangalia roho inakuuma, (are you stupid).
Mimi nikikuona mwanaume mtu mzima unashabikia mpira naona ni kama utosi wako bado unadunda.