Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

Sio rahisi kumkuta mshabiki wa arsenal na Simba kua na akili wengi uelewa wao ni mdogo sanaa......
Ukishabikia mpira tu, tayari unakua na uelewa mdogo.

Mpira ni emotional game, imagine watu 22 wanafukuza mpira, ule mpira ukiingia kwenye nyavu wewe unaeangalia roho inakuuma, (are you stupid).

Mimi nikikuona mwanaume mtu mzima unashabikia mpira naona ni kama utosi wako bado unadunda.
 
Wenye akili kubwa tu na wanaozitumia VIZURI AKILI ZAO ndio wanaweza kuishi kwa kutegemea kazi hiyo.
Kwenye kundi hilo wewe HAUMO!
NA UACHE KUDHARAU KAZI ZA WATU.

KWANI MARUBANI WA NDEGE HUWA HAWAPATWI NA AJALI?
Naona Sasa nimethibitisha asilimia 100% kwamba nyie bodaboda hamna akili mwisho kusikia ajali ya ndege duniani ni lini na mwisho wa kusikia ajali ya bodaboda ni lini pima hivyo vitu ndio utaona kama wewe kichwani Kuna kopo
 
Swali unalouliza ni lipi hasa ?

Kwamba unawezaje kuishi ukimaanisha kipato ? Jibu unless wewe upo out of touch kwa nchi hii iliyokosa muelekeo na watu hawana ujira Bodaboda ndio moja ya kazi ambayo inatoa ujira kwa watu wengi na huyu Boda anaingiza pesa kuliko hata wengi waliopo kwenye ajira za Serikali

Kwamba hii kazi ni ya Hatari ? Ndio ni kweli na watu kufanya hii sio kwamba wanapenda ila ndio hivyo hawa wananchi wamekuwa kama yatima au wakimbizi kwenye nchi yao wenyewe na pamoja na kutoa kwao Kodi watunga Sera wamewatupa.., hakuna better alternative.., ukiwaambia wakalime ndio hivyo masoko hakuna wanaishia kula mtaji na kuingia kwenye vikoba

Nani wa Kulaumiwa ?
Watunga Sera walioshindwa kazi za kufanya watu wapasipate ujira kwa njia ambazo ni salama.., ni kwamba wameshindwa kutumia nguvu kazi zilizopo hivyo sio kuwaumiza tu hawa watu kwa leo yao bali kesho yao kuwa ombaomba sababu hawana pensheni...

Je hakuna Choice wala cha Kufanya ? Kwa nchi tajiri kama hii yenye raia ambao sio wabishi na wachapa kazi watumishi wetu tuliowaajiri wangekuwa sio wabinafsi myopic na wameshindwa kazi wangeweza kuwafanya hawa watu maisha yao yakawa bora sana na raia wengine wanaohitaji huduma ya Usafiri usafiri wa UMMA wangefanya ukawa convinient na salama kutoka point A mpaka B na kufikika kila sehemu)

Kama wewe ni mkazi wa Dar es salaam na unazunguka Dar es salaam unajua athari za kazi ya bodaboda.
Ni kazi ambayo imeacha watoto yatima kuliko kazi zingine nyingi.
Ukitoka Airport mpaka Posta lazima ukute mahali boda kaliwa kichwa.
Kwahiyo unataka kutuambia tusipande magari kusafiri kwa sababu njiani humu huwezi kukosa kuona magari yaliyopata ajali? Au madereva wa malori na mabasi waache kazi kwa sababu kila siku kuna ajali zinatokea barabarani?
 
Ukishabikia mpira tu, tayari unakua na uelewa mdogo.

Mpira ni emotional game, imagine watu 22 wanafukuza mpira, ule mpira ukiingia kwenye nyavu wewe unaeangalia roho inakuuma, (are you stupid).

Mimi nikikuona mwanaume mtu mzima unashabikia mpira naona ni kama utosi wako bado unadunda.
Hata mashabiki wa mpira wanakuona kama ubongo wako umeoza au utakua jinsia Ke
 
Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu Yao kuingia barabarani kucheza na moto ambao hautozimika ukimkumba maana bodaboda ni kitendo Cha dakika 1 unaitwa kilema au maiti, hii kazi siwezi kuifanya
So long hajaiba wala kuvunja nyumba ya mtu ni kipato halali na anaijali familia yake. shukuru M-ungu una pata hela hapo unapopatia not everyone is lucky.
 
Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu Yao kuingia barabarani kucheza na moto ambao hautozimika ukimkumba maana bodaboda ni kitendo Cha dakika 1 unaitwa kilema au maiti, hii kazi siwezi kuifanya
Kazi hii inatisha.
 
Back
Top Bottom