Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

MUNGU ANAPENDA SANA WATU WENYE DHARAU/DHIHAKA KAMA NYINYI.

Majibu huwa ni hapahapa duniani., kama sio kwa mtu wako wa karibu basi ww mwenyewe.
 
Ndio maana kuna kitu kinaitwa specialization, Wewe hiki hukiwezi na hukitaki,mwenzio na anaota na kuota kuche apige kazi.Kweli wanalisha familia na kusomesha.Wengine wako mbali wamejenga mijengo ya maana.
 
We kama huwezi kuifanya waache wanaoweza wafanye mkuu.
 
Kaka mkubwa!
Naam adjee broh..... Naona unasema chochote kitu juu ya vijana wetu wa bodaboda....,

Maybe ni kazi kama kazi nyingine,

Kazi yoyote inahitaji maadili na nidhamu,

Hata bodaboda wanahitaji ethics wawapo kazini

kama ilivyo kazi yoyote ina comply na regulations na guidelines husika

Basi boda boda nao wa comply kwa kufuata Sheria za barabarani, kwake mwenyewe na mteja wake itasaidia kupunguza ajali za barabarani!

Mwishoni kazi yoyote inabidi uipende kazi yako, itakupa ujasiri, utayari na kuthubutu
 
Huo ni mtazamo wako mkuu,kama kuna tatizo lilikutokea kwa kuendesha bodaboda ni wewe lilikutokea,au uliona kwa mtu fulani,hayo ni juu yako,nilishaa shuhudia bodaboda mmoja kuendesha bodaboda, baada ya miaka miwili kanunua ya kwake,na kijana alijiwekea malengo na sasa kaajili watu wengine wawili kwa kuendesha bodaboda alizoongeza baada ya miaka mitano mingine,usidharau kazi ya mtu aseh!!, tatizo wengine ufanya kazi hizi bila kuwa na malengo,na hili ni tatizo katika sekta zote unazozijua.
 
Hiyo sio kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…