Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

unashindwa wewe kuelewa lakin sio kwamba wengine hawawez.sasa mfano hesab unalaza elfu 10 kwa siku. kama yako mwenyewe una maaana unaweza kuingiza mpaka 25 per day. toa10k weka 10k la kuhemea chakula je hawajala. mbona kuna wat wanalipwa casual labour wanaish ila wewe unachkua mpka mil 1 na mwez haukutan
 
Hamna kitu hapo
 
Hakuna mtu aliyekuja Dunia kuja kuwa masikini ni mifumo mibovu Afrika tuna mawazo mabovu kuamini aliyepata ela ndio mwenye akili matokeo mwisho wa siku tumezalisha watu wengi wanamafanikio kwa njia za panya
 
Hakika mkuu!

Siku hizi kuna kazi za kutafutia watu kazi!
 
Unajua kwanini wanagonga wake zenu sana? Mimi sina Mke.
 
Huyu anataka vijana wote tuwe tunawatega mashangazi ili na yeye ampate bodaboda wake ambae atamchenyenta.
 
Hata mashabiki wa mpira wanakuona kama ubongo wako umeoza au utakua jinsia Ke
Mie ni mwanaume, na sipo emotional kama mwanamke ndio maana game emotional kama mpira haziwezi kuisumbua akili yangu.

Inawezekanaje roho ikuume kisa ki mpira kimeingia kwenye wavu, tena katika hiyo action hujahusika??? Huoni kama uko emotional?
 
Mie ni mwanaume, na sipo emotional kama mwanamke ndio maana game emotional kama mpira haziwezi kuisumbua akili yangu.

Inawezekanaje roho ikuume kisa ki mpira kimeingia kwenye wavu, tena katika hiyo action hujahusika??? Huoni kama uko emotional?
Wewe ni wa kike bhana acha uongo
 
Shukuru kwa hicho ulichonacho na uombe kisiondole
.ila usidharau wenzio
 
Bora sisi tunaoangalia soccer mkuu, kuliko wewe unayekaa na kuangalia masaptasapta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…